Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bro Dodoma is not a joke, wacha kabisa mchezo, ndiyo mji unaokula pesa ya Tanzania kwa sasa just imagine, cement inayotumika hapo ni zaidi ya cement zinazotumika EA nzima combined.
Yani hivyo vijengo ndio vimemaliza hela ya serikali tangia john pombe yuko hai? njooni benchmarking Tatu City mjifunze, haya mambo sio magumu kiasi hicho 😅😅😅😅😅
 
Yani hivyo vijengo ndio vimemaliza hela ya serikali tangia john pombe yuko hai? njooni benchmarking Tatu City mjifunze, haya mambo sio magumu kiasi hicho 😅😅😅😅😅
Ok, kwanza kubali mombasa sio ya ku compare na Dodoma alafu tuje tatu village Vs Dodoma.
 
they clearly didnt understand my point ..tz feels so 30 years ago honestly even with these stendi za basi et.al.....
Utatii tuu maaanina, moto tunaowapelekea sio wa dunia hii qmamaee, wakati hii battle inaanza mlifikiri sisi ni level yenu, now mshaujua ukweli mmebaki na vimaneno vya kizamani, kipindi kile c mlikuwa mnakesha kupost vipicha vya Nairobi now mshagundua tumewaacha mbali mmebaki na vimaneno vya kwenye kanga, sasa sikia nikwambie miaka miwili haiishi utakimbia hii battle, mana yajayo ni hatari tupu, wenzio wengi walikuwa wajeuri kuliko wewe na wamekimbia.
 
Back
Top Bottom