The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Kwnn walighairi kuongeza mishahara ya wafanyikazi wake kwa 100% kama walivyosema hapo mwanzo? Walitaka kujipapatua kama ilivyo kawaida ya wakenya lkn uhalisia ukawaumbua, hivi tunavyoongea kq inataka kupunguza wafanyakazi.KQ Imepata 35% increase in passengers na kufikia whooping 5M, usilete kunguni kwa pride of Africa..View attachment 3019403
Nacheka poor designUnacheka ajali?
Watchman unaruka ruka hujielewi sasa umeachana na passengers umeingia kwa wafanyikazi. Do you know that KQ workers grew from 3825 (2022) to over 4000 now. Ni aibu sana raia kutoka vumbistan kuleta ubishi kwenye hii sector.Kwnn walighairi kuongeza mishahara ya wafanyikazi wake kwa 100% kama walivyosema hapo mwanzo? Walitaka kujipapatua kama ilivyo kawaida ya wakenya lkn uhalisia ukawaumbua, hivi tunavyoongea kq inataka kupunguza wafanyakazi.
Ukitoa makwapa kuna uwanja gani unafikia huu wa burundi😎Jibu swali kwnn timu yenu ya taifa haichezi nyumbani? Inawezekana huko Burundi hakuna japo uwanja jua kali kama huo
Kwa hiyo yeye anakomaa na majirani tu.Mkuu Urusi Alishakuwa mkoloni enzi Hizo.Alaska iliwahi kuwa chini ukoloni wa kirusi baada ya kuvamia na baadae Urusi akauza Marekeni.Urusi ilitaka kuitawala Finland kupata access ya Baltic sea lakini alishindwa .Kwangu Mimi Mrusi ni mkoloni kama wakoloni wengine sema itikadi zake ndio zinamgombanisha na Magharibi toka Karne na karneHivi kwenye Berlin conference Urusi walichukua maeneo gani vile, au hiyo historia umeisahau?
Nakumbuka miaka ya kuvunjika jumuia ya Africa mashariki RTD mazungumzo baada ya habari walikuwa wakisema ole wake nyang'au mzoga utakapoisha watalia na kuomboleza kwa kupenda vya bureHilo neno lilianza kutumiwa sana na Nyerere kabla na baada ya kuvunjika kwa EAC katikati ya miaka ya sabini akiwaita wakenya hivyo, yaani ni kama mafisi vile. Ingawa pia ni jina la ukoo huko Kenya😎😎
Dah umenikumbusha mbali sana 😁Nakumbuka miaka ya kuvunjika jumuia ya Africa mashariki RTD mazungumzo baada ya habari walikuwa wakisema ole wake nyang'au mzoga utakapoisha watalia na kuomboleza kwa kupenda vya bure
Una wivu mbaya sana. Utaumwa magonjwa yasiyoambukiza.Nacheka poor design
SMEC(Google that), WB na Strabag wamekaa chini wakadesign wewe ngedere mmoja uko kibera useme poor design.Nacheka poor design
Anafikiri tuna design brt kama wanavyo design wao 🤣🤣🤣SMEC(Google that), WB na Strabag wamekaa chini wakadesign wewe ngedere mmoja uko kibera useme poor design.
Why not Heathrow? Gatwick mbali na London na miji mingine. Kutoka central London mpaka Gatwick ni kama 70km hivi. Wanaita London Gatwick lakini haipo London.Air Tanzania slot at Gatwick confirmed
View: https://x.com/ukairport24/status/1800151872067797389?t=xqgRb4Jljx45uMnyYtbjiw&s=19
Heathrow ni ngumu kupata slot!Why not Heathrow? Gatwick mbali na London na miji mingine. Kutoka central London mpaka Gatwick ni kama 70km hivi.
Wala msijali kabisa. Tutaiuzia WFP then itaenda kuprocess na kuwaletea unga wa msaada kwa hisani ya USA.Hutowai sikia mnunuzi akilia eti muuzaji amekataa kumuuzia. Ndio maana sahii nyie na Uganda ndio mnapigania Zambia na sio the other way round. Kila mara mnunuzi ndio boss.
Mimi nasubiria express. Vituo vyake ni Dar - Moro - Dom.!hr50mins imesimama vituo vyote Dar to Moro. Nasubiri Dar-Dom 25th July
Halafu wakunya wanaidhalilisha sa Africa yetu kwa kuihusisha kwenye mambo yake ya hovyo.Mm nikiwa naenda ulaya au Marekani sithubutu kupanda hiyo ndege, ma delays ma cancellation kama yote on daily basis, kila siku ugomvi na abiria, hiyo ndege au daladala.