Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hao wachezaji wa timu yenu wote hao ndoto zao ni kucheza Tanzania.
Maoni yako.., Tanzania ni mbwembwe ndio kivutio., trending football, ndoto ya wana soccer ni Europe, Asia, ama marekani, Africa pengine kidogo South Africa, Tanzania ni daraja tu.., usijitekenye
 
Gor Mahia wameiomba Yanga kuja kuzindua uwanja wenu wa Kisumu jua kali Stadium, ngoja tuone kama kweli mna balls 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Tutawalima🀣🀣🀣🀣🀣
 
Gor Mahia wameiomba Yanga kuja kuzindua uwanja wenu wa Kisumu jua kali Stadium, ngoja tuone kama kweli mna balls 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Yanga wamekubali aliko? Have they confirmed! Haven't seen this news...,
 
Bado mkuu mdogo mdogo ndio kwanza units 2 ndio ziko online the rest zikikamilika ndio totakaa chini ku chart out new tariffs. But still our electricity ni cheap kwa EA. Kenya unit Kwh ni 0.22 dollars while TZ ni 0.11.
But infaa ishuke zaidi na wajiandae kushusha ili watu wahame kwenye matumizi ya mkaa waingie kwenye matumizi ya gas na umeme hii ni muhimu Sana, na wakipunguza bei per unit hata matumizi yataongezeka Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…