Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We are going by the trend of previous budgets last year collection estimates were below par by huge margins si ajabu out of 22bn you will end up collecting 15bn only hence loans ina sehem kubwa sana kwenyebudget yenu ndio maana huwa mnafanya supplementary budget kila mwaka.
$31B(Budget) - $22.5B(Revenue) = $8.5B(Deficit)

Is $8.5B 50% of $31B? 😂😂😂

Wewe huwa mjinga kila siku.
 
Hawana pakushika, wanaleta kila aina ya mada 🤣🤣 ubishi na uongo tu. Wapumbavu sana hawa watu.. kiukweli hii battle imenifunza mengi sana kuhusu Tz na maendeleo, lakini pia nimepata kujua chuki, uongo na majigambo ya hawa Wapumbavu wa kikenya.

Bila hofu wala mashaka kwasasa nadiriki kusema Tanzania ni bora kuliko Kenya in so many ways .
Watanzania wengi wameanza kuwajua kunyan kiundan,humu mitandaoni hamna m TZ anaamini nyang'au kwa sasa,hapo zamani walituwahi kipropaganda tukawa tunaamini kunyaland nchi flan amazing now tumeshtuka,ingia kule tiktok uone wa TZ wanavyowaignore those rubbish kunyan
 
Walituwahi kwenye PR sana hawa jamaa, ila kiukweli hawa ni wanyonge wetu.
 
With this 330kV transmission line Zesco Limited is installing, will enable us to import power from Tanzania, which has excess power. #HH
Kutoka Zambia, acha tu wafanye hivi maana mgao wa umeme wanaopitia ni balaa.
Hiv kama umeme umekuwa mwingi. Si wapunguze bei ya unit za umeme watu watumie umeme kwenye kila kitu? Umeme utumike.
Watu wanajibana kutumia majiko ya umeme,washing mashine, friji, nk kwa sababu gharama bado ni kubwa kwa mtanzania wa kawaida
 
Asiye funzwa na mamaye hufunzwa na mod wa jf. 😂😂😂
Huyu mjinga ndiye huwa anaharibu mijadala humu ndani kwa kuleta kauli mbaya, za majivuno na kauli zingine kadha wa kadha zisizofaa kiasi kwamba na sisi inatubidi twende kwa beats hizo hizo anazoenda ili tuelewane, inajulikana dhahiri tabia za wakenya kwamba ni ngumu ku debate nao kiustaarabu lkn huyu mjinga huwa anavuka mipaka, ingependeza jamiiforums kuzipiga ban ya moja kwa moja 🆔 za wahuni kama hawa cz malezi mabovu na maisha magumu huenda ndiyo sababu ya kuwa na tabia hizi, lkn tabia zake za huko alipotoka asituambukize na sisi watanzania anatumia I'd mbili Teargas na Teargass kama atarudi kwa id nyingine akileta tena kauli mbovu piga ban.
 
Hiv kama umeme umekuwa mwingi. Si wapunguze bei ya unit za umeme watu watumie umeme kwenye kila kitu? Umeme utumike.
Watu wanajibana kutumia majiko ya umeme,washing mashine, friji, nk kwa sababu gharama bado ni kubwa kwa mtanzania wa kawaida
Magufuli alisema bwawa likianza uzalishaji lazima umeme ushuke bei, cha kushangaza mamlaka zimekaa kimya juu ya hilo, hakuna hata mmoja anayeongelea kuhusu kushuka kwa bei ya unit ya umeme.
 
Huyu mjinga ndiye huwa anaharibu mijadala humu ndani kwa kuleta kauli mbaya, za majivuno na kauli zingine kadha wa kadha zisizofaa kiasi kwamba na sisi inatubidi twende kwa beats hizo hizo anazoenda ili tuelewane, inajulikana dhahiri tabia za wakenya kwamba ni ngumu ku debate nao kiustaarabu lkn huyu mjinga huwa anavuka mipaka, ingependeza jamiiforums kuzipiga ban ya moja kwa moja 🆔 za wahuni kama hawa cz malezi mabovu na maisha magumu huenda ndiyo sababu ya kuwa na tabia hizi, lkn tabia zake za huko alipotoka asituambukize na sisi watanzania anatumia I'd mbili Teargas na Teargass kama atarudi kwa id nyingine akileta tena kauli mbovu piga ban.
Hizo IDs ni za NairobiWalker
 
Today at One Africa Place. Nairobi is beautiful
PXL_20240616_103648830.jpg
 
Back
Top Bottom