Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umesema ni budget ya Tanzania pekee ambayo 30% inakuwa funded na donors and loans hapa EA, ebu prove hayo maneno yako.
20240615_084409.jpg
 
Rudi kwenye point huna exposure nguruwe pori wewe 😂😂😂😂😂 eti plate number maalum, so umepata faida gan kudanganya
That’s a customized number plate. The car is in Kenya.

Another one 😂😂👇👇

1718525982613.jpeg
 
Gari ingine ya Rwanda😂😂😂👇👇👇

Naona warwanda wanauza gari Kenya zikiwa na number plates zao already😂😂👇
1718526758587.jpeg
 
Huyo jamaa huwa na shida sana. Sijui ni insecurities ama ni childhood trauma. Jamaa atakufuata hadi inbox akilia...yani ni kama huu utani anauchukulia serious sana. 🤣 🤣
Hili siyo jukwaa la jokes. Ukitaka kutaniana na mtu lipo jukwaa maalum la utani. Hapa tunaongea serious issues with evidences.
 
Ndo kwanza safari ya kwanza ya SGR. 😂😂😂
Hawana pakushika, wanaleta kila aina ya mada 🤣🤣 ubishi na uongo tu. Wapumbavu sana hawa watu.. kiukweli hii battle imenifunza mengi sana kuhusu Tz na maendeleo, lakini pia nimepata kujua chuki, uongo na majigambo ya hawa Wapumbavu wa kikenya.

Bila hofu wala mashaka kwasasa nadiriki kusema Tanzania ni bora kuliko Kenya in so many ways .
 
Back
Top Bottom