NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,055
- 19,272
Nyinyi watu hata Mkenya akipumua mtasema anaiga watanzania.
Acha upumbavu wewe kenya and Uganda take more loans than Tz ours is financed 30% loans equivalent to 4bn nyie sasa more than 10bn loans 🤣🤣🤣What are you saying? 🤣 🤣 🤣
Ungesema ni Tanzania pekee iliyo na wananchi waoga na wajinga wasioweza kuquestion budget yao na maamuzi ya serikali yao. Tanzania relies on grants and loans more than Kenya and Uganda.
Sasa kwa akili yako akiitwa Rais anaetoka kwenye taifa fukara kuliko wote hapo atainuka nani?
Chokaa mali ya mama nguna umeiona lakini? Mnaioneaga kibera tu
Mh ngoja waje hapa 😬Kwani siku hizi hawana miradi ya maendeleo inayofanywa na serikali yao! 😂😂😂
Huu ni mkuu wa mkoa. 🤣 🤣 🤣
Wanakwambia kigoma ya sasa sio ya zamani 😅😅😅Huu ni mkuu wa mkoa. 🤣 🤣 🤣
Nani aliongelea top 10 wewe watchman?😂😂😂Dunia imebadirika sana mnuka nnyaa usijiongopee na vi articles mnavyotengeneza chumbani, Tanzania ya sasa inaongelea treni ya umeme.
Hizi hapa 10 poorest countries in the world interms of per capita 👇👇🤣🤣🤣🤣
![]()
Poorest Countries in the World 2024
The world’s poorest countries suffer from civil wars, ethnic and sectarian strife. Soaring inflation has made their situations worse.gfmag.com
Umesema ni budget ya Tanzania pekee ambayo 30% inakuwa funded na donors and loans hapa EA, ebu prove hayo maneno yako.
Source Ranking Royals. Owned by Mama Ngina.Nani aliongelea top 10 wewe watchman?😂😂😂
Tanzania is among top 30 poorest countries in the world and also LDC😂😂
![]()
Sasa umechange gear from rais wa nchi maskini zaidi yo rais wa nchi maskini hapo😂😂😂.Sasa kwa akili yako akiitwa Rais anaetoka kwenye taifa fukara kuliko wote hapo atainuka nani?
Kenyan budget relies on loans by more than 50%Umesema ni budget ya Tanzania pekee ambayo 30% inakuwa funded na donors and loans hapa EA, ebu prove hayo maneno yako.
So gari ya Rwanda imekuja kufanya Road test Kenya?😂😂😂👇👇Hvi wewe unajua Sana kuliko mm 😂😂😂
Nakuuliza tena ni gari ya Rwanda au ya Kenya
View attachment 3018437
$31B(Budget) - $22.5B(Revenue) = $8.5B(Deficit)Kenyan budget relies on loans by more than 50%
Since when did the disabled person know mathematcs? 🤣 🤣 🤣$31B - $22.5B = $8.5B.
Is $8.5B 50% of $31B? 😂😂😂