President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,768
- 89,793
Hueleweki unaongelea nini. Je, Ethiopia wapo na Bandari? Je, Kenya mpo na Electric SGR? Unachoongelea ni nini hapa?Nimekuambia kabla nyinyi kulikuwa na Ethiopia, jiulize mbona leo SGR yao hailinganishwi na ya Kenya.
Tuwe na bandari kubwa EAC alafu utake kushindana na sisi kwenye uchukuzi.
Muna akili nyinyi kweli!?
Be specific