Sasa mkenya mwenzako anasema proudly made in Kenya, ndio tunamuuliza mna assemble au manufacturing?
Huo uwezo bado sana, nyie mnachofanya ni kuchoma hayo mabati na kuyapaka rangi kitu ambacho hata watengeneza mageti wanafanya , vifaa vya umeme mna agiza nje, engine mna agiza nje.
Gari ni engine, ukianza kuniambia mnachoma body hata Tanzania kuna kampuni nyingi sana wana assemble meli na luxury boats naweza kukupa picha..
Kawaida sana mzee, siku mkitengeneza engine nitaanza kuwachukulia serious... Tchao..