Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naomba turudie maana somo halijaeleweka.
This is Tanzania Buses is a serious business here

1717946458055.png


1717946512837.png
 
Huyo jamaa ni mchafu. Unakumbuka hile time nilileta discussion ya Netflix na Wifi? Kitu ilimdanganya apost nyumba yake and he exposed all the dirt in his house. Router ya white was grayish in color 😂😂😂 Curtains za white were brown because of dirt Alafu ukuta pia ilikuwa chafu.

From that day huwa nikiona comments zake huwa Naona tu uchafu😂😂
We only see what we want to see.....
 
Siku hizi uswazistan Ina fabricate mabasi 🙌😂😂😂
Wako na ingine inaitwa Dar Coach. Huwa wanachukua bodies za Master, Banbrose and LSHS alafu wanabandika jina lao 😂😂😂.

They usually subcontract Kenyan bus builders.
 
Kila mkundurenda ni mwizi mpaka mzungu analalamila maji chupa mbili "EXPENSIVE" lakini huku Tanzania hajalalamika wali wa kutosha kwa maharage Chips na soda baridi huko remote kijijini haswa mbona nyie kakosa chakula kunduhunger
Hata usihangaike nae, huu ndio mji uliombali kutoka Nairobi kuliko mji wowote unapakana na Ethiopia lakini angalia hauna umeme wala chakula upo hovyo na kila raia anaonekana fukara wa kutupwa


View: https://youtu.be/c_xkmHDmQp0?si=lR2m5x7d_MD9ecVi

Halafu angalia mji ulio mbali zaidi na Dar Kigoma ulivyo mzuri, umeme kila kona huko vijijini, chakula cha kumwaga, mzungu anashangaa mpaka kuna traffic lights 🚦 😁😁😁
Tukiyaambia Tanzania tumeyaacha mbali kwenye miundombinu na social welfare development hayataki


View: https://youtu.be/sIpzkACnoAw?si=x8d2DyJOq_trZ4uP
 
Do you also make car lights, AC, radio speakers, radio, all the things on the car dashboard?
Yes for the lights, no for the radio, yes for the speakers. Angalia hizo lights za LSHS. Hutoziona kwa gari zingine kama sii LSHS because they're custom made for LSHS. Radio and dashboard on the other hand ni za that particular models.
 
Do you also make car lights, AC, radio speakers, radio, all the things on the car dashboard?
Umeona sasa watu unao deal nao. You are discussing with vichaa. Watakuzungusha kama pia. Ataingilia hapa anatokea kule. Education System ya Kenya owned by Mama Ngina. Hawawezi kufanya chochote nje ya Mama Ngima Manifesto. 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Kila mkundurenda ni mwizi mpaka mzungu analalamila maji chupa mbili "EXPENSIVE" lakini huku Tanzania hajalalamika wali wa kutosha kwa maharage Chips na soda baridi huko remote kijijini haswa mbona nyie kakosa chakula kunduhunger
Sijui Nini mnashobokea huyu mzungu, sijaona akiisifia Tanzania jinsi alivoisifia Kenya. Akiingia Kenya aliona utofauti wa kimaendeleo na kifikra tofauti na Ethiopia alikotoka despite the fact that aliingilia the poorest section of Kenya. Hapo Tanzania sijaona akiongelea ubora wa Tanzania ikilinganishwa na nchi zengine alizotembelea. Ngoja tuone akitoka atasema Nini. I hope hamtaanza zile za ooh tunaabudu maoni ya wazungu.😂😂
 
EU imesema no misaada to uswazistan national parks baada ya kuwafurusha maasai ili kina Abdul wa UAE wafanye game hunting

...
IMG_20240609_174619.jpg
 
Back
Top Bottom