Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sisi buses zetu tunajitengenezea bodies na bado tunajifanyia assembly. Nyinyi muna import CBU. Hamna ujuizi kwa vehicle production ndio maana hamna viwanda vingi vya kuunganisha au kufabricate magari kama Kenya. A bigger percentage of our commercial vehicles are produced locally, nyinyi bado munategemea imports.
Unajisifu mna viwanda vingi vya ku assemble buses, kwanini hizo fedha msianze kutumia kufanya assembling za tractors mlime mpate chakula? Muwakope na wakulima?

Anzeni kufanya kilimo cha kisasa, nchi yenu ni jangwa, yani Kenya ukila wali na nyama ni anasa..

Bus haziwasaidii chochote, Chinese wamevamia hio fani.
 
Sasa mkenya mwenzako anasema proudly made in Kenya, ndio tunamuuliza mna assemble au manufacturing?

Huo uwezo bado sana, nyie mnachofanya ni kuchoma hayo mabati na kuyapaka rangi kitu ambacho hata watengeneza mageti wanafanya , vifaa vya umeme mna agiza nje, engine mna agiza nje.

Gari ni engine, ukianza kuniambia mnachoma body hata Tanzania kuna kampuni nyingi sana wana assemble meli na luxury boats naweza kukupa picha..

Kawaida sana mzee, siku mkitengeneza engine nitaanza kuwachukulia serious... Tchao..
Sisi hapa nyumbu tunatengeneza engine na vitu vingine by 90% only 10% huwa impoted.
 
Unajisifu mna viwanda vingi vya ku assemble buses, kwanini hizo fedha msianze kutumia kufanya assembling za tractors mlime mpate chakula? Muwakope na wakulima?

Anzeni kufanya kilimo cha kisasa, nchi yenu ni jangwa, yani Kenya ukila wali na nyama ni anasa..

Bus haziwasaidii chochote, Chinese wamevamia hio fani.
Hawana hata hayo mabasi. Mwambie akutajie 10 companies za basi. Utacheka.
 
Sisi buses zetu tunajitengenezea bodies na bado tunajifanyia assembly. Nyinyi muna import CBU. Hamna ujuizi kwa vehicle production ndio maana hamna viwanda vingi vya kuunganisha au kufabricate magari kama Kenya. A bigger percentage of our commercial vehicles are produced locally, nyinyi bado munategemea imports.
BUses za putt?
 
View: https://www.instagram.com/p/C8AGMOyI5BM/?igsh=MTFjZXNseTEyenJtYQ==

Comments ziwe fupi fupi 😁😁👇👇
Screenshot_20240610-073222.jpg
 
Wewe mwenyewe Jux hakujui, utamuongeleshaaje mtu hakujui. Usijifanye kuwa na umaarufu ambao huna. Huu upuzi wenu wa kuabudu celebrities sisi huwa hatuna. Turudi kwa mjadala. Hivi unajua E-Class ya 2023 inavyokaa? 🤣 🤣 🤣
Ikiwa TID tu kaja kwenu mkamshobokea mpaka too much, msanii ambaye huku kwetu hatuna habari naye lkn kwenu ni dhahabu.
 
Hapana huoni nimejiunga kabla jf kabla yako?
Mkuu wewe hawa wakenya huwajui vzr, hawa ni zaidi ya washenzi, wakati hii battle inaanza sisi watanzania tulijua tuna battle na watu waungwana na watu wazima, lkn kadri muda ulivyokuwa unakwenda tukagundua tunajadiliana na washenzi mbwa kabisa, hawa jamaa sio wastaarabu kabisa, jaribu kuangalia mijadala yao kule X ndio utajua tabia za wakenya. Sio wastaarabu na wana maneno ya kishenzi sana, hapo na sisi ikabidi tuanze shombo ili twende nao sawa.

Angalia hapa maneno yao dhidi ya mtanzania 👇👇
Huyo jamaa ni mchafu. Unakumbuka hile time nilileta discussion ya Netflix na Wifi? Kitu ilimdanganya apost nyumba yake and he exposed all the dirt in his house. Router ya white was grayish in color 😂😂😂 Curtains za white were brown because of dirt Alafu ukuta pia ilikuwa chafu.

From that day huwa nikiona comments zake huwa Naona tu uchafu😂😂

Angalia na comment hii hapa 👇👇
Wueh. Sikuona. Unasema anaishi kama chokoraa. 🤣 🤣
Je, watu kama hawa unaweza kujadiliana nao kikawaida kama unavyosema wewe? Hawa watu hawako matured, na ndiyo wanaishi hivyo huko kwao mpaka rais wao wanamtukana tu wakidai hiyo ndiyo demokrasia, hata viongozi wao wanatukana hadharani kabisa, so hawa ndiyo watu tunajadiliana nao humu.
 
Meli hata bado haijamaliza 1 year and already paint ishaanza kupeel off😂😂

1718002698910.jpeg
 
Back
Top Bottom