ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Je kama kanunua ili mbwa wake nae akaangalie TV wewe unajuaje labda mbwa wake Hana KAZI so kamnunulia mbwa wake aenjoy kuangalia cartoon 🤣🤣🤣🤣🤣
Je kama kanunua ili mbwa wake nae akaangalie TV wewe unajuaje labda mbwa wake Hana KAZI so kamnunulia mbwa wake aenjoy kuangalia cartoon 🤣🤣🤣🤣🤣
Bloomberg anachukua news straight from the government sio news kiosk ya mama hii. Na report za serikali ambazo nimekutumia zina corroborate hizo data.Kati ya Bloomerg and Kenyan government who collected the tourism figures?😂😂
Amesema ako na Mercedes Maybach, so nangoja atuonyeshe hiyo Maybach yake😂😂Utakuwaje na Maybach na hujui tofauti ya Maybach na S-Class?
Utakuwaje na Maybach na unadhani Maybach ni same na S-Class? Achana na huyo mwendawazimu. 🤣 🤣
Na nimewakaanga kisawasawa Leo alaf na ww ukacheka au ulijua kondoo mwenzako kapatia 🤣🤣🤣👇👇👇👇👇Mambo ya magari hujui.
Mkutano mkuu ya young Africans 🇹🇿🇹🇿
Kenya itafika hapa 2050
View: https://www.youtube.com/live/HoJwaVSeSM4?si=QeVILVN-T1v6NDwW
View attachment 3012599
View attachment 3012602
Nielezee tofauti ya Maybach na S-Class.Wewe ndio unajua model za S class 🤣🤣🤣
Au ww ndio mtengezaji WA maybach 🤣🤣🤣
Huu ndio upupu unaongea hapa
View attachment 3012954
Mm namilikia Benz na BMw so ni Aina ya gari kama hzo so huwez nidanganya anything kuhusu magari ikiwa mm namiliki alaf nibishane na MTU Hana hata baiskeli ya kusingiziwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Amesema ako na Mercedes Maybach, so nangoja atuonyeshe hiyo Maybach yake😂😂
Umetukaanga na Maybach fake? Hujui hata kutofautisha Maybach fake na original, just the same way hujui kutofautisha Scania na Isuzu.Na nimewakaanga kisawasawa Leo alaf na ww ukacheka au ulijua kondoo mwenzako kapatia 🤣🤣🤣👇👇👇👇👇
View attachment 3012961
Imagine uko na Lexus LX 600 na hujui tofauti ya Lexus LX 600 na Landcruise LC 300. 🤣 🤣Amesema ako na Mercedes Maybach, so nangoja atuonyeshe hiyo Maybach yake😂😂
Ikiwa hili limekushinda tena Hilo utaweza wewe 😅😅😅😅😅😅Nielezee tofauti ya Maybach na S-Class.
View attachment 3012966
So huyu anajua kwamba maybach hakuna S450? 🤣🤣🤣🤣🤣Imagine uko na Lexus LX 600 na hujui tofauti ya Lexus LX 600 na Landcruise LC 300. 🤣 🤣
Ametukaanga na hii pia. 2024 model E-Class. 🤣Umetukaanga na Maybach fake? Hujui hata kutofautisha Maybach fake na original, just the same way hujui kutofautisha Scania na Isuzu.
Enjoy maisha ya msanii WA kawaida Sana Tanzania na hata Hana jina kihivo
🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇 Tizama nyumba na magari anayomiliki, kwenu ni mpaka joho au sonko ndio anaweza
View: https://www.instagram.com/reel/C7MkJp0Nqbp/?igsh=b3JsdnBrM3RtNWsz
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Umetukaanga na Maybach fake? Hujui hata kutofautisha Maybach fake na original, just the same way hujui kutofautisha Scania na Isuzu.
Magunia mengine msiwasahau sudani wapo vitani 🤣🤣🤣Ruto anarudi kutoka Korea na magunia ya mchele!
Msanii WA kawaida Sana Tizama fleet ya magari ya kifakhari Tizama nyumba na still hafahamiki Sana Tanzania 🤣🤣🤣🤣Ametukaanga na hii pia. 2024 model E-Class. 🤣
Ebu weka picha zao hapa😂😂Mm namilikia Benz na BMw so ni Aina ya gari kama hzo so huwez nidanganya anything kuhusu magari ikiwa mm namiliki alaf nibishane na MTU Hana hata baiskeli ya kusingiziwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣