Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeona tofaut hii ni S650 Ile ni S450 🤣🤣🤣

Nilikwambia hujui magari wewe


View: https://www.instagram.com/p/CrdTfMLIIKk/?igsh=MXE0MWJ0Z3VpajFzdA==

This is the side view of this car. It is not a Maybach. Wachana na mambo ya magari.

2.png
 
This is the side view of this car. It is not a Maybach. Wachana na mambo ya magari.

View attachment 3012935
Kisa nimekuumbua tayari 😅😅😅😅😅😅

Mm hakuna mmoja wenu ananiweza kwenye magari kwasababu mm namilikia gari za Aina hzo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Punguzeni Maumivu kwa SASA

Enjoy maisha ya jux na gari zake za adabu

Msanii WA kawaida Tu Tanzania ila anawanyima usingizi wakenya 🤣🤣🤣🤣🤣

Ona magari yalivopangana hapo tazama nyumba ya kisawasawa 😅😅😅😅😅😅


View: https://www.instagram.com/reel/C7MkJp0Nqbp/?igsh=b3JsdnBrM3RtNWsz
 
Ebu tuonyeshe penye Bloomberg collected the data. How many beds were occupied during that period, what was the perpose for tourists visiting Kenya, how many come for leisure and how many came for conferences. Please give us those figures from bloomberdg.
Endelea kuamini news kiosk ya mama.
Report ya serikali hii hapa 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20240609-160849_Microsoft 365 (Office).jpg
    Screenshot_20240609-160849_Microsoft 365 (Office).jpg
    428.3 KB · Views: 5
Onyesha mlango tucheke, hu hata logo yake tayari ni bandia. 🤣 🤣 🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Unaona aibu SASA nilikwambia mm hujui kutofautisha even model utajua nn kwenye magari,

Mwengine anasema hakuna maybach S450
 
Kisa nimekuumbua tayari 😅😅😅😅😅😅

Mm hakuna mmoja wenu ananiweza kwenye magari kwasababu mm namilikia gari za Aina hzo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Punguzeni Maumivu kwa SASA

Enjoy maisha ya jux na gari zake za adabu
Umeniumbua kwa lipi?
Umeita S-class Maybach.
Model 2016 E Class umeita model 2024.

Sasa ni lipi unalojua?🤣🤣
 
Umeniumbua kwa lipi?
Umeita S-class Maybach.
Model 2016 E Class umeita model 2024.

Sasa ni lipi unalojua?🤣🤣
Kwamba hakuna maybach S450 au sio🤣🤣

Rudi kwenye zile Mada hua munabishana hapa huku toka na ukirudi tena ntakuaibisha Vibaya Sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Utakuwaje na Maybach na hujui tofauti ya Maybach na S-Class?
Utakuwaje na Maybach na unadhani Maybach ni same na S-Class? Achana na huyo mwendawazimu. 🤣 🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Rudia tena nikukaange hapa SASA hvi

Na Huyo kilaza mwenzako nae kacheka kabisa kajua umepatia au sio

Screenshots_2024-06-09-16-20-50.png
 
Kwamba hakuna maybach S450 au sio🤣🤣

Rudi kwenye zile Mada hua munabishana hapa huku toka na ukirudi tena ntakuaibisha Vibaya Sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hiyo ndio umekwamilia yet hujui tofauti ya Maybach na S-Class?
 
Back
Top Bottom