Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe Myemeni wacha nikuonyeshe tofauti ya Maybach na S-Class maanake ni kama magari huyajui.

S Class
View attachment 3012907

Maybach
screenshot-tool-20240609151232-png.3012900

View attachment 3012911

Uache kujifanya unayajua magari wakati hakuna kitu unajua.
Kajifunze kutofautisha models alaf uje ubishane na mm hapa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Nileteeni MTU anaejua magari sio ww kondooo
 
Wee kijana mdogo, kuna kitu kinaitwa model year. Model year ya hili gari ulilopost ni 2016. E-Class zote zilizoundwa between 2016 - 2023 zinaitwa 2016 model. The latest model ni 2024 ambalo ulipostiwa awali lipo Kenya. Hilo la Juma Jux ni 2016 model. Nilikukuwarn uwache kuingilia mijadala huelewi hukuskia.
🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇👇👇
Pumbavu wewe 😅😅😅😅😅😅😅😅
Unajitia ujuaji na hakuna kitu unajua

Hio unaongelea ww ni S class model, inaeza kua S680,S650, S600, S450, S400 etc
 
Kajifunze kutofautisha models alaf uje ubishane na mm hapa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hiyo gari ni fake. Do you know the meaning of the circled part?😂😂😂

Even the poster anajua it’s not an original Maybach😂
IMG_0269.jpeg
 
Wee kijana mdogo, kuna kitu kinaitwa model year. Model year ya hili gari ulilopost ni 2016. E-Class zote zilizoundwa between 2016 - 2023 zinaitwa 2016 model. Hakuna E-Class model 2023. Zote manufactured in 2023 ni model 2016. The latest model ni 2024 ambalo ulipostiwa awali lipo Kenya. Hilo la Juma Jux ni 2016 model. Nilikukuwarn uwache kuingilia mijadala huelewi hukuskia.
Nimemwambia angoje mjadala wa kuomba wanawake pesa😂😂
 
Pumbavu wewe 😅😅😅😅😅😅😅😅
Unajitia ujuaji na hakuna kitu unajua

Hio unaongelea ww ni S class model, inaeza kua S680,S650, S600, S450, S400 etc
Hasira ya nini. 🤣 🤣 🤣 Tulia ufunzwe tofauti ya Maybach S Class na S Class ya kawaida.

Baada ya Mercedes ku discontinue Maybach Landaulet due to poor sales, waliendeleza the Maybach brand name kwa Mercedes S Class lakini sio S Class zote zilipewa hio brand ya Maybach.

Maybach Landaulet, dirisha haufunguki pamoja na mlango wa nyuma.
2012 Maybach Landaulet Review & Ratings | Edmunds

Mercedes S class Maybach, dirisha haufunguki pamoja na mlango wa nyuma.
Mercedes-Benz Maybach S600 Photo Gallery - CarWale

Mercedes S class (not a Maybach) Dirisha unafunguka pamoja na mlango wa nyuma.
Used Mercedes S-Class Review - 2014-2020 | What Car?
 
Maybach Landaulet, dirisha haifunguki pamoja na mlango wa nyuma.
2012 Maybach Landaulet Review & Ratings | Edmunds

Mercedes S class Maybach, dirisha haifunguki pamoja na mlango wa nyuma.
Mercedes-Benz Maybach S600 Photo Gallery - CarWale

Mercedes S class (not a Maybach) Dirisha inafunguka pamoja na mlango wa nyuma.
Used Mercedes S-Class Review - 2014-2020 | What Car?
Nakwambia tumesaidia Bongolala wengi humu bradhee. Yani hawa majamaa hakuna kitu wanajua. Najua atajifanya kubisha humu lakini leo ukimpata pale vijiweni Tandale story itakuwa juu ya tofauti ya Maybach na ordinary S-Class. Atawang'aria kung'ara.🤣🤣🤣
 
Hasira ya nini. 🤣 🤣 🤣 Tulia ufunzwe tofauti ya Maybach S Class na S Class ya kawaida.

Baada ya Mercedes ku discontinue Maybach Landaulet due to poor sales, waliendeleza the Maybach brand name kwa Mercedes S Class lakini sio S Class zote zilipewa hio brand ya Maybach.

Maybach Landaulet, dirisha haufunguki pamoja na mlango wa nyuma.
2012 Maybach Landaulet Review & Ratings | Edmunds

Mercedes S class Maybach, dirisha haufunguki pamoja na mlango wa nyuma.
Mercedes-Benz Maybach S600 Photo Gallery - CarWale

Mercedes S class (not a Maybach) Dirisha unafunguka pamoja na mlango wa nyuma.
Used Mercedes S-Class Review - 2014-2020 | What Car?
Hasira ya nini. 🤣 🤣 🤣 Tulia ufunzwe tofauti ya Maybach S Class na S Class ya kawaida.

Baada ya Mercedes ku discontinue Maybach Landaulet due to poor sales, waliendeleza the Maybach brand name kwa Mercedes S Class lakini sio S Class zote zilipewa hio brand ya Maybach.

Maybach Landaulet, dirisha haufunguki pamoja na mlango wa nyuma.
2012 Maybach Landaulet Review & Ratings | Edmunds

Mercedes S class Maybach, dirisha haufunguki pamoja na mlango wa nyuma.
Mercedes-Benz Maybach S600 Photo Gallery - CarWale

Mercedes S class (not a Maybach) Dirisha unafunguka pamoja na mlango wa nyuma.
Used Mercedes S-Class Review - 2014-2020 | What Car?
Tafuta S450 maybach tofaut na hii unitag SASA hvi 😅😅😅😅😅😅

Unaposema maybach huwez kuweka pembeni S class Yani ni kama ndoa vile

View: https://www.instagram.com/p/CrdTfMLIIKk/?igsh=MXE0MWJ0Z3VpajFzdA==
 
Back
Top Bottom