Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 SASA sio tena 2016 imehama 2023, ww unawivu Sana na ungekua demu ww wanegekufumua mpaka sikioni
Kwani gari za 2016 zilikufa? 🤣 🤣 🤣
 
Wakenya wamenyoosha mikono Sasa hivi wanaanza kuongelea magari. Wameihsiwa pumzi. Wanapumulia mpira

1717940918792.png

1717940960085.png
 
Haya nishakusaidia kwa jux kaniambia atakupa gari moja 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇

View attachment 3013004
Wewe mwenyewe Jux hakujui, utamuongeleshaaje mtu hakujui. Usijifanye kuwa na umaarufu ambao huna. Huu upuzi wenu wa kuabudu celebrities sisi huwa hatuna. Turudi kwa mjadala. Hivi unajua E-Class ya 2023 inavyokaa? 🤣 🤣 🤣
 
Rudisha ile ya kwanza. Hiyo ndio tulikuwa tunajadili. 🤣 🤣
Haya nishakusaidia kwa jux kaniambia atakupa gari moja 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇

View attachment 3013004

View: https://www.instagram.com/reel/C7MkJp0Nqbp/?igsh=b3JsdnBrM3RtNWsz

Jux kanijibu kasema uchague gari unayoitaka wewe hapo 🤣🤣🤣👇👇👇👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/C7MkJp0Nqbp/?igsh=b3JsdnBrM3RtNWsz
 
Wewe mwenyewe Jux hakujui, utamuongeleshaaje mtu hakujui. Usijifanye kuwa na umaarufu ambao huna. Huu upuzi wenu wa kuabudu celebrities sisi huwa hatuna. Turudi kwa mjadala. Hivi unajua E-Class ya 2023 inavyokaa? 🤣 🤣 🤣
Kasema chagua gari atakupa kashanijibu inbox 🤣🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇👇

Chagua usione aibu SASA

View: https://www.instagram.com/reel/C7MkJp0Nqbp/?igsh=b3JsdnBrM3RtNWsz
 
Back
Top Bottom