Wakenya wenye akili washaanza kuamka sasa 😁
View: https://x.com/Dynosuss/status/1657829867558170624?t=aZf9iv8pIN8xqEpdzGcBlA&s=19
View: https://x.com/Dynosuss/status/1657829867558170624?t=aZf9iv8pIN8xqEpdzGcBlA&s=19
kwenye hiyo post yake inaonyesha kwamba by 2100 china population itakua ni watu 700 million while population ya sasa ni 1.4 billion people sasa muulize mpakakufikia mwaka huo wa 2100 wachina watakuwa wamekufa 700 million people.? 🤣🤣🤣 akikupa majibu naomba unitag.Statistics za Mama Ngina. Yaani unaongelea 2100 🤣 🤣 🤣 🤣
Halafu kuanzia leo wachina hawazaliani tena wanakufa tu 🤣 🤣 🤣Yaani kila mwaka wachina 9,210,526 wanakufa tu.kwenye hiyo post yake inaonyesha kwamba by 2100 china population itakua ni watu 700 million while population ya sasa ni 1.4 billion people sasa muulize mpakakufikia mwaka huo wa 2100 wachina watakuwa wamekufa 700 million people.? 🤣🤣🤣 akikupa majibu naomba unitag.
Lakini mmiliki ni MtzNisikilize nini na Tahmeed buses zao zote zimetengenezwa Kenya?😂😂
Unadhani kila mahali Nairobi kuna open drainages. 🤣 🤣 🤣 Ushamba ni mbaya.Where is the drainage kwa barabara? All your roads are potential rivers 🤣🤣🤣
Kwa hivyo hujaona Stanbic Bank Kenya, Uganda na Tanzania zikiwa ranked separately. Rudi shule ujifunze kuthink critically.Banks zenu zimekusanya faida ya nchi zote zinazooperate wakati banks za Tanzania ni profits za Tanzania tu, yaani hapo ni Tanzania versus East Africa
Unajiona umefikiria Sana kumbe ni zero brain...kwenye hiyo post yake inaonyesha kwamba by 2100 china population itakua ni watu 700 million while population ya sasa ni 1.4 billion people sasa muulize mpakakufikia mwaka huo wa 2100 wachina watakuwa wamekufa 700 million people.? 🤣🤣🤣 akikupa majibu naomba unitag.
Akili hio hawana. Kuna siku niliwaambia badala ya double stack,tunaweka treni ndefu tu. Ni sawa na mtu anaeamini nyumba bora lazima iwe ya ghorofa.Ever heard of a 2.5 mile long train?
The height is above 7 m double stack fits!Bye bye double stacking 😂😂😂😂🙌
Kwani Kundustan sio Lower Middle Income LDC country?Na tukiwaambia Tanzania bado ni LDC mnalia 😂😂😂