Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Ebu tutajie hizo qualities za bus that Kenyan buses lack tujue😂😂😂Buses fake ni hizo mnazo fabricate hapo Kunyaland maana hazina quality ya kuwa bus.
Ebu tutajie hizo qualities za bus that Kenyan buses lack tujue😂😂😂Buses fake ni hizo mnazo fabricate hapo Kunyaland maana hazina quality ya kuwa bus.
1963 population ya Kenya ilikuwa 8.6m wakati uswazistan ilikuwa 10.9m a difference of 2mSasa mbona unajiaibisha mzee, haya angalia nyie birth rate yenu, ukizingatia kanchi kenu ni kadogo 👇👇View attachment 3011569
1M ama 13M?😂😂1963 population ya Kenya ilikuwa 8.9m wakati uswazistan ilikuwa 10.9m a difference of 2m peo
Fast toward today tofauti imefika 1
Typing error kidogo 😅😅😅1M ama 13M?😂😂
Sasa unamkasirikia nani na domo lako hilo a.k.a bibi titi 😅😅😅😅Watchman keep quiet, idiot.
Bibi titi ni Mama suluhu 🤣😂😂Sasa unamkasirikia nani na domo lako hilo a.k.a bibi titi 😅😅😅😅
Tanzania ni mara mbili ya Kenya unajua hilo? Fala wewe.1963 population ya Kenya ilikuwa 8.6m wakati uswazistan ilikuwa 10.9m a difference of 2m
Today gap imefika 13m na inazidi kufura
😅😅😅😅
...View attachment 3011612View attachment 3011610
Hzo data ww umetoa wapi, source yako ni mama Ngina au??🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ndio hivyo usishangae😅😅😅😅
Kadri munavyozidi kudandiana Kama mbuzi ndio idadi inapanda maradufu.
Na by 2100, mtakuwa mmefika 240m na GDP itakua 200bn
😅😅😅😅
Jibu swali, tofauti ya chassis ya Scania na Isuzu ni nini. Kama pia hujui sema tu😂😂😂.
Mm hua sijibu maswali ya kipuuzi 😅😅😅😅Jibu swali, tofauti ya chassis ya Scania na Isuzu ni nini. Kama pia hujui sema tu😂😂😂.
Mbona nikasirikie watchman?Sasa unamkasirikia nani na domo lako hilo a.k.a bibi titi 😅😅😅😅
Hii ndio official source yenu munayoitegemea??1963 population ya Kenya ilikuwa 8.6m wakati uswazistan ilikuwa 10.9m a difference of 2m
Today gap imefika 13m na inazidi kufura
😅😅😅😅
...View attachment 3011612View attachment 3011610
Sema tu hujui hakuna mwenye atakuchapa😂😂😂Mm hua sijibu maswali ya kipuuzi 😅😅😅😅
Nilishakwambia ww huna ulijualo kwenye magari, swali lako Tu tayar unaonekana ww ni kilaza WA Aina gani
Wala siwez kujibu swali la kipuuzi mm 😅😅Sema tu hujui hakuna mwenye atakuchapa😂😂😂
Kafie mbele, domo kubwa ka chai jaba 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mbona nikasirikie watchman?
Nimekuruhusu ulete hiyo ya google😂😂😂Wala siwez kujibu swali la kipuuzi mm 😅😅
Hayo maswali yapo Google kwa vilaza kama ww, ila ndio nishakwambia huna ilijualo kwenye magari wewe