The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,965
A Kenyan has decided to invest in Tanzanian bus industry. Just give Kenyans 5 yrs from Now and top 5 bus companies will be owned by Kenyans.
View: https://x.com/CoolBusesEA/status/1794455289090957523
Hajawahi toka kibera tangu amezaliwa huyo 🤣🤣🤣
Buses fake ni hizo mnazo fabricate hapo Kunyaland maana hazina quality ya kuwa bus.This is not a cheap bus. Ama ushaiona hii in Tanzania and Africa in general ?😂😂😂
Nyinyi mnauziwa buses fake na unapiga kelele hapa😂😂
Ndio hivyo usishangae😅😅😅😅Population ya Tanzania 2022 ilikua million 61 ina maana kwa mwaka mmoja na miezi kadhaa tumeongezeka million 7?
Jokers 🤣🤣🤣🤣Kama washapata order, mbona wasiuze?😂😂😂
Hueziuza kitu kama hakuna order. Imagine hadi deposit ishalipwa, delivery ndio inangojwa sasa😂😂🤣👇👇👇
View attachment 3011375
Inakuuma?
Sasa mbona unajiaibisha mzee, haya angalia nyie birth rate yenu, ukizingatia kanchi kenu ni kadogo 👇👇Hii hutaki, mnashindana na panya kuzaa👇😅😅😅View attachment 3011332
Uganda wametuletea pesa nyingi sana lazima tuwaunge mkono, wametuletea bomba la mafuta (crude oil pipeline) ambalo ilikuwa lipite kwenu lkn limepita kwetu, unataka tufanyeje 😅😅😅😅😅😅😅😅
Ulisema mtaongoza group, Burundi tu inawatoa jashoIs this for real?… ati Lesotho!.. kudos to them..is it advisable to place money on Lesotho to win the group and qualify for the WC?.. that would be a huge payday…🤪
View attachment 3011563
Naona leo Bongolalas wako kimya mambo ya soka… they are ignoring the 5-0 win by Harambee stars yesterday… meanwhile am watching Bongolala stars vs Morocco live… wanachapwa…. It’s half time…. As I said Kenya has a better chance to win the group but no way Bongo tops theirs… hio ni ya Morocco… and only the group winner qualifies for the World Cup… mezeni wembe vilaza!..🤣🤣🤣🤣
We still have time.. Ivory Coast 🇨🇮 is not the same powerhouse it used to be… just like Nigeria 🇳🇬…. But Morocco 🇲🇦 is playing their best football at the moment… so big difference
Jibu swali, tofauti ya chassis ya Scania na Isuzu ni nini. Kama pia hujui sema tu😂😂😂.Yani swali lako Tu tayar unaonekana ww ni kilaza WA Aina gani 🤣🤣🤣🤣🤣
So, leo unakubali ichoboy ni mtz?Mbona iniume na siyo ya Tanzania. Ebu tuonyeshe yenu😂😂
Najua and that’s why nimeuliza Ichoboy that question. Wewe nilikuuliza meaning ya bus ukashindwa😂😂😂Kama hujui tofauti kati ya Isuzu chassis na scania chassis hata nikikuelezea hutaelewa kijana.
Wewe kijana umeosha sare zako za kazi? Umecharge torch? Umepanguza rungu? Bado huwa unapanga laini hili ulipwe mshahara ama? Na ulifungua bank account ama bado unaweka pesa chini ya godoro?So, leo unakubali ichoboy ni mtz?