Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The Christian message knows neither countries nor boundaries … stop being silly.. pick another fight… Am a member of the Presbyterian church of East Africa ( found only in Kenya and Tanzania)…there is no supremacy wars among members on both sides like Jamii forums and top leadership of the church transcends the border…. Please stop trying to ignite a religious battle on this sub forum.. focus on other areas … Leave God out …unless you are too desperate… When Diamond entertains Kenya, then come and rant ..that’s warranted .😁
The choir is from Tanzania, sang in Swahili Tanzanias language by the Tanzanians ni hivyo tu si wakenya, wangekua wakenya duniani kote wangejua.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Maumivu yakizidi muone daktari plz

Fungua hii video 👇👇👇👇👇


View: https://youtu.be/f6bUGjP5CrU?si=yuAVzzeiAa5_HN-b

Abiria 2 million a year, jingo limezidiwa na lilizinfduliwa juzi juzi tu hapa, kweli demand omekua bubwa. Inabidi hili jengo jipya wajenge kubwa ikibidi hata mara mbili ya jingo lililopo ili kukidhi mahitaji ya sasa na hapo baadae.
 
Abiria 2 million a year, jingo limezidiwa na lilizinfduliwa juzi juzi tu hapa, kweli demand omekua bubwa. Inabidi hili jengo jipya wajenge kubwa ikibidi hata mara mbili ya jingo lililopo ili kukidhi mahitaji ya sasa na hapo baadae.
Yes ndicho wanachokifanya na pia terminal 2 iko kwenye renovation kubwa Sana ambayo itakua kwa ajili ya local flights only
 
Huyu Jamaa ametamani kumiliki gari Sana. Ukiona anavyong'ang'ana kutuaminisha anamiliki Gari utajua tu.🤣🤣🤣
Jamaa anatamani sana gari😂😂😂. Alafu positions za hizo picha huwa zinambetray sana😂.

Aanzie baiskeli kwanza ndio afikirie mambo za gari😂😂
 
Back
Top Bottom