Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani kuwaambia ukweli kabisa wakenya kinacho wasaidia mnapicha nyingi lakini nairobi hamna kitu cha ajabu. Laiti tungekuwa tunapiga picha nyingi kama nyie mngeshakimbia hapa. Sema tuna vitu vingi vya msingi vya kufanya.
nairobi has close to 500 estates na hapa tume post kama ten only na kuwapiga bao mingi Vila comeback.....mnatapatapa tu ujingani mkipiga towers zile kando ya beach na makeup na different angles kila siku........
 
nchi LDC wanajarbu kupingana na Kenya..😀😀.joke of the century...tunaeza kuwagawia GDP ya bilion 10 na bado tuwe tunaongoza tu
Kwa wapi 55 to 51.3 hesabu haidanganyi
IMG_0579.jpg
 
wacha niwataftie Buruburu mtii...yaani Kariakoo ni estate tu kama vile Githurai, Kasarani na kadhalika...tofauti kubwa ni kuwa Kariakoo iko ndani ya city center...Nairobi huwezi ukaoana upuuzi huo...estates ziko mahali pake tofauti na ofisi za city center...kisha mlie lie eti density....kumbe ni ma flat za 1 bedroom na bedsitter...
 
Dar city center
90% nyumba za kukodisha za 1 bedroom, mama mboga na duka za kuuza samaki
10% office buildings & hotels


Nairobi city center
90% offices and hotels
10% expensive apartments

kisha wanaimba imba hapa ati density😀😀😀😀😀 tofayuti ya Kariakoo na soko la githurai hakuna...
 
Kariakoo=Githurai😀😀 ama mtatudanganywa kuwa Kariakoo kuna office buildings na expensive apartments kama Upperhill na westie?
 
Can we experiment a little? Was suggesting we compare highways and roads in Kenya with those in South Africa then Compare Tanzanian ones to those in South Africa again. Who is willing to participate in this dick measuring contest? Kenyans brace for a big win...twende kazi Wakuu but I won't post pictures najua kuna experts Wakenya.
hawa majirani hata nairaland hatuwezi wapeleka.......wako hoi bin hoi.......hapa ni freedom tumewapatia tu
 
Dar city center
90% nyumba za kukodisha za 1 bedroom, mama mboga na duka za kuuza samaki
10% office buildings & hotels


Nairobi city center
90% offices and hotels
10% expensive apartments

kisha wanaimba imba hapa ati density😀😀😀😀😀 tofayuti ya Kariakoo na soko la githurai hakuna...

Acha ku-pull vitu out of your ass. Kuwa na uhakika na unachoongea.
 
Back
Top Bottom