Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio maana mvua ikinyesha barabara hugeuka mto dah. Barabara haina drainage hata kidogo 🤣🤣🤣

Hili lina drainage sindio?
Tanzania-1200x700.jpg
 
Hiyo ndio taarifa niliitisha. Can't you share it here tuone
Haya umeridhika sasa?
 

Attachments

  • snapshot_dailynews.co.tz_1717533804276.png
    snapshot_dailynews.co.tz_1717533804276.png
    473.4 KB · Views: 12
Hii picha sio Tanzania hizo ni buses za kenya sisi hatuna buses design hizo jaribu tena 🤣🤣🤣
Buses za kenya zinajulikana na za tz ni za kawaida so nashanga unakana na huko palikotokea madhara ni tanzania ambapo picha hiyo ilichukuliwa
 
Tofautisha mafuriko na landslide wewe kima😬
Hiyo ni landslide iliyotokea manyara
Floods and landslides are somehow related they're like families.. Whenever there's floods due to heavy rainfall and the place is on a low land expect the raised land saturated soil to come down on you.. If the land above is exhausted expect the soft soil coming down the low lands... Mtafunzwa hadi lini??
 
Unaijua loss ya kupark dreamliner kwa miezi nane Malaysia??
Ama loss ya kwenda na 787-8 dreamliner south Korea kwa siku 5.
😂😂😂😂😂😂
Ok ime kua ground kwa miezi 8 Kwan ndege zinamilikiwa na Nani??😂😂😂😂

Haya subiri loss ya hzo ndege mbili zenu zilizokua grounded ambazo sio zenu uone loss ya mwaka huu 😂😂😂

Tanzania haina cha kupoteza kwasababu ndege ni zake, nyinyi munavyo chakupoteza kwasababu ndege sio zenu na ni lazma mulipe pesa kwa wenye ndege every month mufanye kazi au musifanye KAZI na moja ya sababu ya loss kubwa kq ni ndege za kukodi 😄😄😄😄
 
Back
Top Bottom