Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Shida yenu Mkiambiwa ukweli mnapinda mada mnatapatapa alafu mnajaribu kuexplain mambo in a different way.
Mmepost picha tukawaambia street zenu ni mbovu. Badala ya kujidefend, ukaanza kuboboja eti ooh, hizi vitu za kawaida Arusha. mwaiofhawaii akakuuliza badala ya kujidefend unaruka Arusha ukaendelea ooh unaonyesha jinsi tunavyoshabikia vitu vya kijinga. - a wise man would have simply explained that most streets in Dar CBD are well marked na kuwa hiyo ni street moja pekee lakini ujinga wako unabishana mara unaruka huku mara unaingiza BRT mara matatu na mada ni simply juu ya properly marked street parking. The point is, street kama hiyo kuwa katikati mwa CBD ni aibu hata kama ni street moja pekee. Na ukweli ni kwamba, most streets in Dar CBD ziko hivo. Street nyingi Dar CBD hazina properly marked street parking na zingekuwa nazo ungekuwa ushazipost humu.
Umeshawahi kufika Dar.? 🤣🤣🤣 mbona unaeleza kana kwamba unsishi Dar.? Au ulishawahi kuishi.?
 
Whatever but ndio kishakuja kusoma,elimu ya kunyanduliwa iko chini,argue zenu humu zinawaacha uchi,nyie kichwani ni 0
🤣 🤣 🤣
Most Kenyans who come to Tanzania for education come because it's cheaper in Tanzania. Alafu mimi naongelea skills, wewe unaongelea individuals. Majengo yenu mazuri zaidi ni product of Kenyan education system. Nionyeshe ni kipi hapa Kenya tunachojivunia ambacho ni product of Tanzanian education system?

rock-city-mall-in-mwanza.jpg
 
Shida yenu Mkiambiwa ukweli mnapinda mada mnatapatapa alafu mnajaribu kuexplain mambo in a different way.
Mmepost picha tukawaambia street zenu ni mbovu. Badala ya kujidefend, ukaanza kuboboja eti ooh, hizi vitu za kawaida Arusha. mwaiofhawaii akakuuliza badala ya kujidefend unaruka Arusha ukaendelea ooh unaonyesha jinsi tunavyoshabikia vitu vya kijinga. - a wise man would have simply explained that most streets in Dar CBD are well marked na kuwa hiyo ni street moja pekee lakini ujinga wako unabishana mara unaruka huku mara unaingiza BRT mara matatu na mada ni simply juu ya properly marked street parking. The point is, street kama hiyo kuwa katikati mwa CBD ni aibu hata kama ni street moja pekee. Na ukweli ni kwamba, most streets in Dar CBD ziko hivo. Street nyingi Dar CBD hazina properly marked street parking na zingekuwa nazo ungekuwa ushazipost humu.
Huyo jamaa nimesoma comments zake hamna kitu cha maana hata kimoja anachosema. Kazi ni kurudia tu úmeelewa nilichosema wee pimbi?' 🤣 🤣
 
Shida yenu Mkiambiwa ukweli mnapinda mada mnatapatapa alafu mnajaribu kuexplain mambo in a different way.
Mmepost picha tukawaambia street zenu ni mbovu. Badala ya kujidefend, ukaanza kuboboja eti ooh, hizi vitu za kawaida Arusha. mwaiofhawaii akakuuliza badala ya kujidefend unaruka Arusha ukaendelea ooh unaonyesha jinsi tunavyoshabikia vitu vya kijinga. - a wise man would have simply explained that most streets in Dar CBD are well marked na kuwa hiyo ni street moja pekee lakini ujinga wako unabishana mara unaruka huku mara unaingiza BRT mara matatu na mada ni simply juu ya properly marked street parking. The point is, street kama hiyo kuwa katikati mwa CBD ni aibu hata kama ni street moja pekee. Na ukweli ni kwamba, most streets in Dar CBD ziko hivo. Street nyingi Dar CBD hazina properly marked street parking na zingekuwa nazo ungekuwa ushazipost humu.
Aisee hapa napoteza muda na mwendawazimu!
Mtu yeyote mwenye akili angeelewa mapema tu nilivyoweka quotation marks kwenye "streets zenu" kwamba amekosema ...Nilikuwa sina sababu ya kuanza kusema streets nyingine zina well marked parking areas
 
🤣 🤣 🤣
Most Kenyans who come to Tanzania for education come because it's cheaper in Tanzania. Alafu mimi naongelea skills, wewe unaongelea individuals. Majengo yenu mazuri zaidi ni product of Kenyan education system. Nionyeshe ni kipi hapa Kenya tunachojivunia ambacho ni product of Tanzanian education system?

rock-city-mall-in-mwanza.jpg
Heb maliza kabisa, ni majengo mangapi Tz yapo designed na Kenyans. 🤣🤣🤣 we want to know. Man's unajipa umuhimu tu, mara museme hili jingo ni baya, mara ooh ni kati ya maujengo yetu mazuri. Yaani tafrani. 🤣🤣🤣
 
🤣 🤣 🤣
Most Kenyans who come to Tanzania for education come because it's cheaper in Tanzania. Alafu mimi naongelea skills, wewe unaongelea individuals. Majengo yenu mazuri zaidi ni product of Kenyan education system. Nionyeshe ni kipi hapa Kenya tunachojivunia ambacho ni product of Tanzanian education system?

rock-city-mall-in-mwanza.jpg
Talanta Stadium imebuniwa na Mkenya. Ngoja uone hiyo Samia Stadium yao kama itajengwa utapata Architect ni foreigner, Engineer ni foreigner alafu kila siku wanasema elimu yao iko juu.
 
Aisee hapa napoteza muda na mwendawazimu!
Mtu yeyote mwenye akili angeelewa mapema tu nilivyoweka quotation marks kwenye "streets zenu" kwamba amekosema ...Nilikuwa sina sababu ya kuanza kusema streets nyingine zina well marked parking areas
Broo, hii kujitetea yako haina mwelekeo. Kubali umepigwa na hujielewi. Hata wenzako wanakuonea huruma.
 
Aisee hapa napoteza muda na mwendawazimu!
Mtu yeyote mwenye akili angeelewa mapema tu nilivyoweka quotation marks kwenye "streets zenu" kwamba amekosema ...Nilikuwa sina sababu ya kuanza kusema streets nyingine zina well marked parking areas
Wewe ndio mwendazimu............waja kupindapinda mada na kutafuta pa kutokea. Umepigwa na points umeshindwa mjadala. You're new to this thread, utajua tu mambo yalivyo.🤣 🤣 🤣
 
Ndugu ebu nambie points alizotaja!!?
 
Ndugu ebu nambie points alizotaja!!?
Point Number 1: Your CBD streets don't have proper markings and proper street parking.

Point Number 2: You building projects worth billions doesn't erase the fact that your CBD streets are poorly marked and have no street parking.

Point Number 3: You focus on the point at hand. Talking about Kenya's lack of BRT and Kenyans being proud of Matatu doesn't help in a discussion about street markings and street parking.

Point Number 4: You never defended yourself well. Instead of explaining and proving that most of your CBD streets are properly marked and have proper street parking, you deflected and jumped creating strawmen and unnecessary arguments when you could simply have posted photos of the other streets in Dar with proper markings and parkings.

Point number 5: She has actually been to Dar and most streets in Dar CBD look like that (with no proper street parking and marking).

Point number 6: Even if it's just a single street in the CBD that's not well marked and lacks proper street parking, it's still an embarrassment.

Those are the main points she stated. You've been unable to defend yourself other than employing deflection mechanisms.
 
Nailed it! Good summary.
 
Back
Top Bottom