Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Talanta Stadium imebuniwa na Mkenya. Ngoja uone hiyo Samia Stadium yao kama itajengwa utapata Architect ni foreigner, Engineer ni foreigner alafu kila siku wanasema elimu yao iko juu.
Eti imebuniwa na mkenya, nikuulize tu, kuna viwanja vingapi vipo kama huyu kobe 🐢 mpaka useme imebuniwa na mkenya? Lete proof kwamba huyu kobe kabuniwa na mkenya alafu na mm nikupe picha zaidi ya 100 za viwanja kama hivi design ya kobe punga wewe🐢 🐢 🐢 🐢 🐢 👇👇
Screenshot_20240319-164052~2.png

Screenshot_20240319-163922~2.png
 
From "Do you have any proof" to "Fundi ni mfanyakazi wa hali ya chini sana." 😂😂😂
Huyu mkunya anayeitwa Nicxie ni mzembe sana, huwa anauliza vitu ambavyo keshawekewa ni msahaulifu mno, mwenzie anajua ukweli ndiyo maana katumia neno fundi ni mfanyakazi wa hali ya chini sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Fundi ni mfanyakazi wa hali ya chini sana. Kawaida wao wakija huku wanafanya kazi za hadgi ya chini. Sisi tunawapelekea architects na engineers wao kitu wanachoweza kujisifu nacho ni masons, housegirls, ombaomba na kuuza mitumba.
Unarusha maneno matupu hewani .?🤣🤣🤣 heb post huo mradi wa Tz ambao umejengwa na wakenya, au hata nyumba ya mtu binafsi tu. Empty talks ndio kazi yako.
 
Unarusha maneno matupu hewani .?🤣🤣🤣 heb post huo mradi wa Tz ambao umejengwa na wakenya, au hata nyumba ya mtu binafsi tu. Empty talks ndio kazi yako.
Wakenya wangi hapa Tanzania wanafanya Kazi kwenye Mahoteli. Ni wazuri sana wa House Keeping. 🤣 🤣 🤣 Lakini kazi za Engineering wasubiri mwaka 2072.
 
Wakenya wangi hapa Tanzania wanafanya Kazi kwenye Mahoteli. Ni wazuri sana wa House Keeping. 🤣 🤣 🤣 Lakini kazi za Engineering wasubiri mwaka 2072.
🤣🤣 kijamaa kinakwambia kuna Kenyan engineers wanajenga majengo huku bongo. Sijawahi kuona wala kuskia hizo habari na ufuatiliaji wangu wote huu wa taarifa..🤣🤣🤣 yeye sijui katoa wapi hiyo maneo.
 
🤣🤣 kijamaa kinakwambia kuna Kenyan engineers wanajenga majengo huku bongo. Sijawahi kuona wala kuskia hizo habari na ufuatiliaji wangu wote huu wa taarifa..🤣🤣🤣 yeye sijui katoa wapi hiyo maneo.
Engineers don't build, they design and supervise construction. Contractors build.
Kima wa Tandale. 🚮
 
Wao wanenda kule, Sisi wanakuja huku

WABUNGE WA CONGRESS WAIMWAGIA SIFA TANZANIA JUHUDI ZA UHIFADHI

Wawakilishi 11 wa Bunge la Wawakilishi-Congress kutoka nchini Marekani wameridhishwa na juhudi za uhifadhi zinazofanywa na Serikali ya Tanzania huku wakisifia namna ambavyo hifadhi za Taifa zimesheheni wanyamapori.

1717417263220.png

1717417284152.png
 
Engineers don't build, they design and supervise construction. Contractors build.
Kima wa Tandale. 🚮
Come back yako ni kunitofautishia maana ya terminology engineering.? 🤣🤣 ulielewa swali we mnuka mavi wa kike ?
Kuna majengo in Tanzania yamejengwa na Kenyans.? Mradi wowote tu, hata nyumba ya mtu binafsi.? 🤣🤣🤣
 
It's not a comeback. Ni somo. Una mazoea ya kujiweka kwa discussions wakati hakuna unachoelewa. Umeambiwa Kenyan architects and engineers work in Tanzania wewe unadhani wanajenga. Sasa kama huelewi kazi ya engineer ni nini utawezaje kujadiliana kwa mjadala kama huu?
 
Back
Top Bottom