The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Nani aliyesema nyinyi mnajua kingereza? Kwanza jina tu hujui, eti "kiingereza" ndiyo nini hicho?Shida ya inferiority complex mtu akikueleza kitu unaona anabragg. Mnaijeria akiniongelesha Kiingereza na kila mara akiongea sielewi ataniambia shida yangu ni Kiingereza, Mganda akiniongelesha Kiingereza na kila mara akiongea sielewi ataniambia shida yangu ni Kiingereza. Mmalawi na Mzambia vile vile. Sasa sisi Wakenya tumebebeshwa huu mzigo wa kuwa the only country ambayo tunaongea nanyi sana na kila mara tunakumbwa na hili tatizo lenu la kutoelewa Kiingereza kwa hivo tukiwaambia mtachukulia tunabrag. Hutowai sikia Mganda akisema tunabrag juu ya Kiingereza maanake yeye tukiongea Kiingereza tunaelewana vizuri. Shida ni hapo kwenu. 🤣 🤣
Ninyi ni wazembe sana, mmetawaliwa na waingereza na hamjui kingereza, ndiyo nchi pekee ambayo imetawaliwa na muingereza mwanzo mwisho na hamjui kingereza, bora sisi mjerumani aligoma tujue lugha yake, na mwingereza alikuja kipindi ambacho tunajitambua yani tuligoma kuongea lugha ya mkoloni na pia tukagoma kuongea lugha za kikabila kama nyie tukaongea kiswahili, nyie ni wazembe sana, hamjui kingereza wala kiswahili.