Ikulu T
JF-Expert Member
- Aug 21, 2023
- 1,599
- 4,737
Kumbe umesharusha nyavu,umetisha ile hatari👏👏 najiengua with immediate effectMkuu hapo tutagombana sasa hivi mimi naweka mipango sawa hapo unataka kutibua tena 😀
Kumbe umesharusha nyavu,umetisha ile hatari👏👏 najiengua with immediate effectMkuu hapo tutagombana sasa hivi mimi naweka mipango sawa hapo unataka kutibua tena 😀
Unaumia ukiwa wapi we kapuku 🤣🤣🤣Hela za ndani stupid stories...
😅😅😅View attachment 3006635
News ni news haijalishi likes ziko ngapi ndio maana nikakuambia za motomoto toka jikoni hazijapoa bado.Unbiased news yenye likes 2 😂
Hizo models mlizokuwa nazo hapo ni za 30 years agoProbox ziko za kila mwaka.
Hizi hutaki 👇😎Leo mbona nyundo nyingi jamani mtaua hawa watu 🤣🤣🤣
Wewe unajuaje kama wenyewe pia walizinunua 30 years ago..Hizo models mlizokuwa nazo hapo ni za 30 years ago
Bakuli linaenda kutembezwa huko🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nashauri kupunguza gharama za safari wakati anarudi aombe lift kwa dada yake mama Samia 787 dreamliner. After all sisi wote majirani bhana 😁
![]()
Kenyans.co.ke
I will be flying to Korea today. I am not going as a tourist. I am going to work for Kenyans - President Rutowww.facebook.com
Football is not your forte 😀Cheers 🇰🇪🔥🔥🔥View attachment 3006804
Stick to Kiswahili ..,..we understand it ..😀😀I am proudly of my country
Hizi hutaki 👇😎
View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1796511250387714378?t=iYBLu3Ub7ux9xBmlvauyYg&s=19
View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1796202110805008751?t=WVlRiEfpsutMoHZkjJsPTQ&s=19
View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1796074303860949038?t=HGFVfsYbV54HEnFSM8p1-g&s=19
View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1795093916363940100?t=znnoGmTXJkasZc9Ei-LQrg&s=19
View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1796513732216160344?t=UrE7hGiJa61wiwFDDsCiFg&s=19
Najua by their registration numbersWewe unajuaje kama wenyewe pia walizinunua 30 years ago..
Meter gauge hujaitendea haki mkuu ni over 3000kmKitu 3 Gauges
1. Meter gauge over 1,254 kilometers
2.Cape Guage 1,860 km
3. Standard Gauge over 1,800 km
Watanzania ni wakarimu sana, Bado mnaweza accommodate hawa wanuka midomo na mmewashinda kwa kila kitu 😂
Imagine this century na mtu bado anastrugle na Bondo 🤣😂
View attachment 3006908View attachment 3006925
Tanga-Moshi.?Meter gauge hujaitendea haki mkuu ni over 3000km
Dar Mwanza 1200km, branch ya Kigoma from Tabora 600km, branch ya Kaliua mpanda from Tabora 400km Dar Arusha 700kn