Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahiyo we malaya janerose mzalendo ukiongea hivi ndiyo inaondoa ukweli kwamba Dar iko mbele ya Nairobi as far as real estate industry is concerned?

Je, ukisema hivi itaondoa ukweli kwamba Dar ina miradi yenye thamani kubwa kuliko miradi yote inayofanyika East and central Africa combined?

Ukiongea hivi itaondoa ukweli kwamba Dar iko na proper drainage system inayofanya Dar isiwe na mafuriko kama Nairobi?

Je, unadhani dunia haijui kwamba Dar iko na first world infrastructure like electrified SGR, cable stayed bridges, EMU, proper public transport like brt, three level interchange, state of art bus terminals, kitu ambacho ni ndoto ya Nairobi na haitawahi kuwa navyo? Hakuna battle hapa ni tunawafariji tu mana tukisema mlete multimillion infrastructures za Nairobi unaleta GTC ya mchina, xpress way ya mchina, na vile vi apartment nzee vilivyojengwa na foreigners miaka ya 70 alafu unamalizia na talanta ya mchina, tumewaacha mbali sana mana Tanzania maendeleo kote kote 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Shida ya inferiority complex mtu akikueleza kitu unaona anabragg. Mnaijeria akiniongelesha Kiingereza na kila mara akiongea sielewi ataniambia shida yangu ni Kiingereza, Mganda akiniongelesha Kiingereza na kila mara akiongea sielewi ataniambia shida yangu ni Kiingereza. Mmalawi na Mzambia vile vile. Sasa sisi Wakenya tumebebeshwa huu mzigo wa kuwa the only country ambayo tunaongea nanyi sana na kila mara tunakumbwa na hili tatizo lenu la kutoelewa Kiingereza kwa hivo tukiwaambia mtachukulia tunabrag. Hutowai sikia Mganda akisema tunabrag juu ya Kiingereza maanake yeye tukiongea Kiingereza tunaelewana vizuri. Shida ni hapo kwenu. 🤣 🤣
Wewe kwel mwendawazimu sasa mtu hasipoelewa lugha ambayo sio yake kuna shida gan!!? Tuanzie hapo...
Ukijibiwa na points haurespond, unataka kurespond ujinga ukibadilisha magoli. Sasa sahii uko kwenye mikopo. Mjadala mdogo wa street parking and parking umekushinda
Hilo jibu ni la huyo mwendawazimu mwingine
 
Huyu ndie Chief Justice wa Kenya. Nenda kagaegae kule.

CJ-Martha-Koome_0.jpg
Huyu hata uhead master hapati Tz
 
Kenya can do things on its own, but whatever Tanzania does, Kenya must approve of it. Umesikia wakisema eti Raisi wao yupo Korea!? Mikataba yote aliyotenda kusaini lazima zikuwa ratified na Kenya.
Wacha bwana wao aenda huko amalizie. We will compare the notes later.
20240602_160058.jpg
 
When this project was proposed, we posted here and some noisy Bongolalas said it won't happen. Isiolo Mandera Highway. 1st lot, Isiolo to Modogashe 192 Km now nearing completion.
20240602_161734.jpg
 
Kenya can do things on its own, but whatever Tanzania does, Kenya must approve of it. Umesikia wakisema eti Raisi wao yupo Korea!? Mikataba yote aliyotenda kusaini lazima zikuwa ratified na Kenya.
Wacha bwana wao aenda huko amalizie. We will compare the notes later.
View attachment 3006673
😂😂😂😂 Kiingereza ndo shida au wewe ndo mwendawazimu!!? Hii inahusiana nini na Tz???
Hili zombie lenu linaenda kulamba miguu kwasababu hamkopesheki Debt to GDP ratio ipo around 70%😂😂😂
 
Huoni aibu hili zombie limeitwa mara ya pili! Kuulizwa je kunya itaweza kulipa huo mkopo au wa-postpone,wakat samia akienda tu hana haja yakurudi yaan deal done.
 
😂😂😂😂 Kiingereza ndo shida au wewe ndo mwendawazimu!!? Hii inahusiana nini na Tz???
Hili zombie lenu linaenda kulamba miguu kwasababu hamkopesheki Debt to GDP ratio ipo around 70%😂😂😂
Ushajiona gwiji sasa unaambia watu Kiingereza ni shida alafu wewe ukiambiwa unaanza kulialia ooh Wanaijeria hawatuambii hivi. 🤣 🤣

And here comes english aisee!
Sijui ni ushamba au ni nini?!
Wazambia
Wamalawi
Waganda
Wanigeria wote hawa wanaongea kiingereza better than you,lakini huwezi wakuta-wanabrag.
MUngu kwel fundi mngekuwa wazuri nyie plus english aisee tungeteseka ila kwasababu hamna tofauti na NYANI!the equation is well balanced😂😂
 
Haya sasa ni Muda wa Mbung'o wa Kenya kukimbia nimeshaingia sasa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo Rasmi na Rais wa Jamhuri ya Korea Mhe. Yoon Suk Yeol katika Ikulu ya Nchi hiyo iliyopo Seoul tarehe 02 Juni, 2024.

1717336878188.png

1717337000523.png
 
We are talking about Movie Industry Wakenya endeleeni na Elimu ya Mama Ngina

Mhe. Rais Dkt. @SuluhuSamia akiwa katika picha ya pamoja na Watayarishaji maarufu wa Filamu wa Jamhuri ya Korea na Waandaaji wa Filamu wa Tanzania mara baada ya kuzungumza nao Jijini Seoul tarehe 01 Juni, 2024. Mhe. Rais Samia yupo Jamhuri ya Korea kwa ya ziara ya kikazi.

1717337156730.png
 
Kenya can do things on its own, but whatever Tanzania does, Kenya must approve of it. Umesikia wakisema eti Raisi wao yupo Korea!? Mikataba yote aliyotenda kusaini lazima zikuwa ratified na Kenya.
Wacha bwana wao aenda huko amalizie. We will compare the notes later.
View attachment 3006673
Kundustan ni mavi ya mbwa.Kinachowauma hapa ni hizi pesa tumepata

View: https://www.instagram.com/p/C7t0KLvIrzX/?igsh=c2E4b2t1Yjd5MXh1

On top of that Tanzania imealikwa kufanya state visit,Ruto anaenda kukusanywa sawa na underdog wengine huko Seoul.

Na Kwa taarifa Yako tuu Samia atahutubia Mkutano huo wa Korea na Africa ila Ruto ataishia kuwa msikilizaji kama underdog wengine 😂😂
 
Back
Top Bottom