Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi ndio nilipost hii picha, kukosa markings it's because barabara zote in Posta kwasasa zinapata renovation na kujengewa pavements na zingine kupatiwa na BRT lanes.. kila siku picha zinawekwa humu.. wewe ni kipofu.?
Hivi watu ni wajinga wasione barabara ambayo ipo under renovation na isiyo? 🤣 🤣 🤣
Hata hivo, kando na hii, hapo Dar CBD sijawai ona properly markerd street parking - na naongea kama mtu ambaye ashaatembelea Dar akaiona.
 
Zaha hadid was one of the best Architects in the world. She has been ranked among the best architects to ever live and some people consider her the very best and yes - there is no Chinese architect that can match her but that's not the point. The point is, to reach where she's reached, you have to go through some quality education.
Kwanza kupitia mimi ndio umemjua Zaha, uongo.? Sahii we mbwa una chakunifundisha mimi.?
Unaijua miji ya china.? Unajua over 500 skyscrapers in Hong Kong alone and 400+ skyscrapers in Shenzhen, who was the designer.? Vipi useme there is no Chinese can match Zaha..? 🤣🤣🤣

Habari nikuletee mwenyewe halafu ujitie unazijua.? Mnuka mavi wewe
 
Hivi watu ni wajinga wasione barabara ambayo ipo under renovation na isiyo? 🤣 🤣 🤣
Hata hivo, kando na hii, hapo Dar CBD sijawai ona properly markerd street parking - na naongea kama mtu ambaye ashaatembelea Dar akaiona.
Unajua kusoma kiswahili,.? Maswali ya comprehension ulikua unapata ngapi.? 🤣🤣🤣
 
Kwanza kupitia mimi ndio umemjua Zaha, uongo.? Sahii we mbwa una chakunifundisha mimi.?
Unaijua miji ya china.? Unajua over 500 skyscrapers in Hong Kong alone and 400+ skyscrapers in Shenzhen, who was the designer.? Vipi useme there is no Chinese can match Zaha..? 🤣🤣🤣

Habari nikuletee mwenyewe halafu ujitie unazijua.? Mnuka mavi wewe
Ndio maana tunakuita kima humu. Yani vitu vya kawaida unaona miugiza. Zaha Hadid nani asiyemjua? Umemjua juzi ndio unaona miujiza.

Alafu miji kuwa na 500+ skyscapers vs Ujuzi wa Zaha Hadid kwenye architecture wapi na wapi? Hivi una akili wewe?
 
Best education kisa mnachukua maprofessional wetu wamfanyie kazi zinazohitaji professionals ilhali hutopata Wakenya watafuta professionals kutoka huko kwenu. Uzuri wa education huonekana na matokea yenyewe sio mdomo tu. Hadi nyumba zenu mnazoringa nazo ni professionals kutoka Kenya wanaozibuni.

OIP.w_CGC8E-hQ46jXo6j-1r4QHaE8
Screenshot_20240602_141739_Chrome.jpg
Screenshot_20240602_141923_WhatsApp.jpg

Endelea kuota mwishowe ujikojolee ndotoni,elimu ya TZ much better than urs kunyanduliwa
 
Ndio maana tunakuita kima humu. Yani vitu vya kawaida unaona miugiza. Zaha Hadid nani asiyemjua? Umemjua juzi ndio unaona miujiza.

Alafu miji kuwa na 500+ skyscapers vs Ujuzi wa Zaha Hadid kwenye architecture wapi na wapi? Hivi una akili wewe?
Ulikua unapata ngapi maswali ya comprehension.? 🤣🤣

Una uelewa wa kondoo na unataka ujadili na mimi.?
 
Hivi watu ni wajinga wasione barabara ambayo ipo under renovation na isiyo? 🤣 🤣 🤣
Hata hivo, kando na hii, hapo Dar CBD sijawai ona properly markerd street parking - na naongea kama mtu ambaye ashaatembelea Dar akaiona.
If you argue with a pig, it will drag you into the mud and it will enjoy it.
 
Elimu yenu duni
Kwani sii zenu? Ni za Uganda? Ama ni za Zambia? 🤣 🤣 🤣

Alafu ona unavyotapatapa.Tunaongelea street parking and marking in the CBD ushaingiza BRT na Matatu. Kidogo utaingiza 'mnasema Kilimanjaro ni ya kwenu hamonaizi ni wa kwenu' kM ilivyo kawaida yenu. Bro, ni wewe unaitaji elimu. Hujielewi. Wekeni proper street parking kwa CBD na mfanye markings. Hii ni aibu.
K
img-20240519-wa0000-jpg.3006185

umeelewa nilichoandika?!! M

I have never ever seen such a display of stupidity before😂😂😂
Hv wewe unaakili?! Umeelewa nilichoandika!! Umefahamu sababu za kuweka quotation marks kwenye "streets zenu" ???!
It seems u guys are not only uneducated but also crazy.
Hicho kipisi cha barabara hakimaanishi streets zote zipo hivyo u bastard..
Kiingereza kingi kichwani sifuri 😂😂😂
 
That one is a high school leaver. Wachana naye akuekue apate maarifa ndio ujadili naye baadaye.
On social media you get to meet lots of busybodies arguing with zero knowledge or understanding. I agree, wacha apatepate masomo kwanza atoe ujinga ndio nimpe wakati wangu.
 
Vijamaa vya kenya vya humu ndani ni vipimbi sana, vikipigwa spana kutokana na pumba zao tena kuhusu uelewa wa kawaida tu, vinakimbilia kurusha maneno ya kutaja elimu. Lakini tukipitia hiyo elimu yao kuikagua unakuta ni upumbavu mtupu. 🤣🤣🤣 najiulizaga maswali hiyo elimu yao wanayojisifu nayo ni ipi.?

Vijamaa viko na mentality za watu wapumbavu sana kwamba eti they smarter than anyone. 🤣🤣🤣 kwa humu ndani kama kuna wakenya wako na hiyo mentality number one is this little brain NairobiWalker.
 
Elimu yenu duni

umeelewa nilichoandika?!! M

I have never ever seen such a display of stupidity before😂😂😂
Hv wewe unaakili?! Umeelewa nilichoandika!! Umefahamu sababu za kuweka quotation marks kwenye "streets zenu" ???!
It seems u guys are not only uneducated but also crazy.
Hicho kipisi cha barabara hakimaanishi streets zote zipo hivyo u bastard..
Kiingereza kingi kichwani sifuri 😂😂😂
Shida yenu Mkiambiwa ukweli mnapinda mada mnatapatapa alafu mnajaribu kuexplain mambo in a different way.
Mmepost picha tukawaambia street zenu ni mbovu. Badala ya kujidefend, ukaanza kuboboja eti ooh, hizi vitu za kawaida Arusha. mwaiofhawaii akakuuliza badala ya kujidefend unaruka Arusha ukaendelea ooh unaonyesha jinsi tunavyoshabikia vitu vya kijinga. - a wise man would have simply explained that most streets in Dar CBD are well marked na kuwa hiyo ni street moja pekee lakini ujinga wako unabishana mara unaruka huku mara unaingiza BRT mara matatu na mada ni simply juu ya properly marked street parking. The point is, street kama hiyo kuwa katikati mwa CBD ni aibu hata kama ni street moja pekee. Na ukweli ni kwamba, most streets in Dar CBD ziko hivo. Street nyingi Dar CBD hazina properly marked street parking na zingekuwa nazo ungekuwa ushazipost humu.
 
Back
Top Bottom