Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Halafu ngoja tuwawekee na render za train kabisa ili warudi shule wakale githeri upya.
 
Shida tunargue humu na watu hawana exposure. Watu hawajawai ingia 5* hotel na inaonyesha. Hivi ndio conference rooms za 5* hotels hukaa. Hii hapa ni conference room ya the biggest hotel in Dar. Hyatt Regency Hotel. Nakuombea siku moja utoke kwa umaskini utembelee maeneo kama haya uache kujiaibisha mitandaoni.😂

View attachment 3004057
Anadhani kwa five star hotel confeence hall ni sofa set ama zi zile viti kama za lecture hall. Kumaanisha hajawai ingia 5* Hotel. 🤣🤣
 
Mimi siungi mikono hii miradi kwa kutumia mafao badala ya kulipa wastaafu huu ni upigaji in making! Kazi za foreign mission si kujiingiza kwenye biashara ya Real Estate!

Badala ya kujenga haya majengo ambayo watashindwa kuyaendesha ni bora wangefufua mradi wa ukumbi wa mikutano Arusha maana AICC imeonyesha uwwzo wa ku-manage kumbi za mikutano.
Wanamatizo hatari , na sijasikia Mount Kilimajaro Convetion Centre ikitajwa kokote .

Wanaenda kuwekeza nje ambapo hawako sure if real estate inalipa , maana real estate ni mpaka tenants
 
Hii ni aibu kwa uongozi wa nchi na Dart/BRT 😭🥲
Daladala ndo zinaleta folen, daladala hizohizo ndo wanataka kuzirudisha

View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1796150525236318449?t=sD7EYRFZ5XJRZztdVo6HUQ&s=19

Wajinga wakina ChoiceVariable ndio wanakuambia eti anaupiga mwingi. Li maza limeturudisha sana nyuma, mno. Inchi inapigwa kila kona, wakina Makamba wamekuja na aina nyingine ya upigaji, mtu aliyeitia nchi gizani. Limeenda huko Korea Kusini kuttutia mideni mikubwa wakati hizo9 fedha zinaishia mikononi mwa wahuni wa CCM.
 
Their government knows the lull in their real estate sector hence this move. They know that Nairobi has demand for office space unlike Dar ambapo jengo kama hilo litasyrggle kupata wapangaji.

KnightFrank once talked about it
I can’t wait to hear Bongolalas excuses… Am sure they are salty about this move …
 
Huyo ni prison officer sio JWTZ wewe kima.
Hata iwe ni askari wa mbugani. Hiyo ni Ushamba bado. Kwani ni pastor Ng'ang'a!?
images (16).jpeg
 
Back
Top Bottom