Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Shida tunargue humu na watu hawana exposure. Watu hawajawai ingia 5* hotel na inaonyesha. Hivi ndio conference rooms za 5* hotels hukaa. Hii hapa ni conference room ya the biggest hotel in Dar. Hyatt Regency Hotel. Nakuombea siku moja utoke kwa umaskini utembelee maeneo kama haya uache kujiaibisha mitandaoni.😂

View attachment 3004057
Yan hata mkunya ajifanye smart kiasi gani kwa sisi wa TZ mkunya tunamuona mtu m1 mshamba,mchafu sababu ya kulala nyumba za mabati,mwizi,maskini na mwenye njaa ya kutosha that how we see kunyan,yan iko hivyo mpende msipende
 

Attachments

  • f822e36e52a39412ef8e2836b3778f9b.mp4
    27.2 MB
Likoni Bridge first render 👇👇🤣🤣View attachment 3003489View attachment 3003490
Likoni Bridge second render 👇 👇 🤣 🤣 🤣 View attachment 3003491View attachment 3003492
Actual likoni Bridge 👇👇🤣🤣🤣🤣View attachment 3003493View attachment 3003494
I can post hundreds of infrastructures like these in Kenya if you want, no future in Kenya.
Yani kumbe Likoni bridge ilishajengwa na hatuna habari huu muda wote 🤣🤣🤣

The desperation in bongolalas is sickening!
 
Mimi siungi mikono hii miradi kwa kutumia mafao badala ya kulipa wastaafu huu ni upigaji in making! Kazi za foreign mission si kujiingiza kwenye biashara ya Real Estate!

Badala ya kujenga haya majengo ambayo watashindwa kuyaendesha ni bora wangefufua mradi wa ukumbi wa mikutano Arusha maana AICC imeonyesha uwwzo wa ku-manage kumbi za mikutano.
Nadhani watakuwa wanayaita Tanzania house mostly Tanzanian businesses zitapewa nafasi kubwa kuweka office zao na hata nyingine kuwa na embassy kuepuka kukodisha majengo kwaajili ya shughuli za ubalozi.
 
Hongereni Ethiopia 👍👍👍 na poleni USA ya Africa 😂😂😂😂

Screenshots_2024-05-30-22-47-52.png
 
Usinililie mm tafadhali kawalilie wakenya wenzako, mm sio ndugu yako, mm mtoto wa Nyerere sina undugu na wewe 👇👇
View attachment 3003603
That's Liwatoni floating bridge bongolala. It's located in Likoni. It's purely a pedestrian bridge kitu hamna huko kwenu
IMG_20240530_224949.jpg

The Likoni bridge unayosumbuka kutaja hapa ujenzi wake hata haujaanza yet unapiga nayo kelele hapa
 
Back
Top Bottom