Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kijana mdogo, Niko Argyle hotel sahii Gala Dinner ya Professional Engineers. Unadhani Niko level ya kusumbuliwa kijana mdogo kama wewe mwenye bado hajajielewa? Ukiskia nikisema sikujibu ni kwa sababu unachoandika nakiona upuzi Kila mara na sii joke.😂

View attachment 3004010
View attachment 3004012
🤣 🤣 🤣 🤣 Wakenya hamna pesa. Ilikuwa samani. Lakini kwa sasa nyie ni hohe hahe. Check setup yenu.
 
Shida tunargue humu na watu hawana exposure. Watu hawajawai ingia 5* hotel na inaonyesha. Hivi ndio conference rooms za 5* hotels hukaa. Hii hapa ni conference room ya the biggest hotel in Dar. Hyatt Regency Hotel. Nakuombea siku moja utoke kwa umaskini utembelee maeneo kama haya uache kujiaibisha mitandaoni.😂

1000085745.jpg
 
View attachment 3004057
Kama pulpit ya kanisa😅😅
 
Mzee kawaida sana hii. Sasa hivi na drive subiri nifike home nikupe vitu
 
Kijana mdogo, Niko Argyle hotel sahii Gala Dinner ya Professional Engineers. Unadhani Niko level ya kusumbuliwa kijana mdogo kama wewe mwenye bado hajajielewa? Ukiskia nikisema sikujibu ni kwa sababu unachoandika nakiona upuzi Kila mara na sii joke.😂

View attachment 3004010
View attachment 3004012
Professional engineer wa kenya ni sawa na fundi wa kawaida tu huku bongoo 🤣🤣 unadhani unanitisha mimi mpumbavu wewe, kibera walker.?
 
Kajilipua, 😂😂😂😂😂😂
wakenya wanawafungia VAR technology kwani hamuna wahandisi...
Seems hata kiswahili pia hujui 🤣🤣🤣🤣 imeandikwa wapi Kenyans wamefunga VAR.? The technology that you are waiting to have it after 2 years baada ya kukamilisha talanta stadia. 🤣🤣🤣
 
After Makasembo Housing project, Kisumu has started construction of yet another massive housing project. Anderson - Ofofo 11 towers of 18 floors each. This project alone makes Kisumu have nearly same number of high-rise buildings as Dar.
1717074732736.png

1717074263869.png
 
After Makasembo Housing project, Kisumu has started construction of yet another massive housing project. Anderson - Ofofo 11 towers of 18 floors each. This project alone makes Kisumu have nearly same number of high-rise buildings as Dar.
View attachment 3004129
View attachment 3004130
I seriously need to see the latest figures of middle and upper middle classes …. It could surprise us all..This housing boom all over the country is being fueled by these classes…
 
Back
Top Bottom