Rhaenyra Targaryen
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 888
- 1,055
Wacha ujinga. BRT ya nchi zilizoendelea hii. Hamna kujazana kama kondoo. Hii hapa BRT ya New YorkUnless uwe hujawah kwenda kwenye nchi zilizoendelea ukajua maana ya BRT ng'ombe wewe 🤣🤣🤣
Wacha ujinga. BRT ya nchi zilizoendelea hii. Hamna kujazana kama kondoo. Hii hapa BRT ya New YorkUnless uwe hujawah kwenda kwenye nchi zilizoendelea ukajua maana ya BRT ng'ombe wewe 🤣🤣🤣
Nasikia "Ilifungwo" 😂😂😂Usinililie mm tafadhali kawalilie wakenya wenzako, mm sio ndugu yako, mm mtoto wa Nyerere sina undugu na wewe 👇👇
View attachment 3003603
Wewe ndio huijui nchi yako. Kama kusafi mbona msipost picha kama hizi za makaazi ya watu wa kawaida kila siku mnapost main artery roads zile zile pamoja na highways zile zile?Dada labda huijui Tanzania, haiwezi kuwa chafu kama kenya au nchi nyingine nyingi tu za kiafrika, ni kwasababu watanzania ni wastaarabu, tunaanzia kujifunza shuleni ustaarabu na ndiyo maana hata ukisafiri umbali mrefu huku Tanzania lazima kuwe na vyoo njiani kwa ajili ya abiria kujisaidia, hakuna mambo ya flying toilets huku.
Na hii ya wapi 👇👇Wacha ujinga. BRT ya nchi zilizoendelea hii. Hamna kujazana kama kondoo. Hii hapa BRT ya New York
![]()
![]()
Umeipost mwenyewe alafu unaniuliza ya wapi? Una akili wewe?Na hii ya wapi 👇👇View attachment 3003630View attachment 3003631
Duh picha za 2006 aloo, alafu licha ya kuwa ni picha za kitambo lkn bado haijafika level ya Nairobi ya 2024, oya Nairobi chafu wakuu 😬 😬 😬 😬 😬Wewe ndio huijui nchi yako. Kama kusafi mbona msipost picha kama hizi za makaazi ya watu wa kawaida kila siku mnapost main artery roads zile zile pamoja na highways zile zile?
![]()
![]()
Halafu mna pit latrines hadi mjini. Nairobi huwezi pata pit latrines mjini. Kwani unadhani hatuijui Dar?
View attachment 3003629
Wewe una stress inaonesha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Umeipost mwenyewe alafu unaniuliza ya wapi? Una akili wewe?
Kawaida yenu hiyo. Eti picha ya 2006....hivo ndivyo mitaa ya Dar ilivyo hadi saa hii. Usidhani sisi mambumbumbu kama nyinyiDuh picha za 2006 aloo, alafu licha ya kuwa ni picha za kitambo lkn bado haijafika level ya Nairobi ya 2024, oya Nairobi chafu wakuu 😬 😬 😬 😬 😬
Wizara ya mambo ya nje inaenda kuwa mmiliki wa majengo ya biashara! Fedha za mifuko ya jamii!Mnapiga picha za highways na main artery roads mnasema usafi. Nenda vichochoroni tuone huo usafi. Kuficha uchi kumewaaminisha vitu vingi hadi hamjielewi.
Stress ya nini kijana wa Tandale? Nikupige hizi vibare zote alafu nishikwe na stress? 🤣🤣🤣🤣🤣Wewe una stress inaonesha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Out of topic Mr. Guesthouse.Wizara ya mambo ya nje inaenda kuwa mmiliki wa majengo ya biashara! Fedha za mifuko ya jamii!
Made in Kenya by AVA TeargasKatikati naona land cruiser 2024
View attachment 3003641