Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi siungi hii mikono hii miradi! Kazi za foteign mission si kujiingiza kwenye biashara ya Real Estate! Badala ya kujenga haya majengo ambayo watashindwa kuyaendesha ni bora wangefufua mradi wa ukumbi wa mikutano Arusha maana AICC imeonyesha uwwzo wa ku-manage kumbi za mikutano.
Hata Mimi nakubaliana na wewe,yaani Makamba ameondoa kabisa Mpango wa kujenga ule Ukumbi wa KICC-Arusha na kuja na huu mradi wa upigaji?
 
Hii itatupea credit sana mkuu.. dunia itapata kujua nani ni nani hapa EA.. kule kwao sijui wageni watarundikana Nairobi tu since wahana kiwanja kingine cha michezo outside their capital city chenye kiko na hadhi ya ku host Afcon.
Huko arusha ndo mtatuaibisha kabisa, kiwanja kinawekwa kwenye pori na nyumba za udongo...
 
SASA tushaelewana kwamba uwanja utamilikiwa na mchina is that clear??🤣🤣

Ulikua unabisha nn SASA, nilikwambia Kenya ilishauzwa kwa wachina haya kiko wapi

Expressway Mali ya mchina
Talanta Mali ya mchina
SGR Mali ya mchina
Avic towers Mali ya mchina


Haya hebu tuambieni mradi unaojengwa na serekali yenu ni UPI so far?? Failed state 🤣🤣🤣
Ujenzi wa uwanja wa Bukhungu 😁😁
 
AVA wanauza brand new cars, japan watu wanafata second hands. Mibongolala inanunua magari mpaka ya 20yrs old.
Nani Kenya anaeza afford brand new cars ikiwa hata matajiri wanaagiza Japan, ndio maana nikakwambia AVA hufanya kazi kwa order maalum na Hasa mashirika makubwa ya nje ambayo hapo hapo kenya, lakini 99.5% gari wanaagiza kutoka Japan, bado hamujafika level ya mtu kununua gari brand new 😆😆😆😆😆😆

Na hata leo kuifanya Sensa utagundua gari wanazotumia wakenya ni 10yrs old 15yrs old 8yrs old, kupata MTU anatumia range mayb 2023 ni mmoja katika million 40 tena politician kama joho hvi tycoon wa kuuza madawa ya kulevya 🤣🤣🤣 kina sonko drug dealers
 
So Trains have renders? Do you know what a render is? Kindly show us the render.
🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇
images - 2024-03-21T164530.464.jpeg
images - 2024-03-21T164538.215.jpeg
 
Can you name just one project in Kenya that didn't look like its render? And don't come with political campaign posters - those are not renders. I want an actual render released by the lead consultant and the actual structure. Give me just one.
Likoni Bridge first render 👇👇🤣🤣
Screenshot_20240530-114101~2.png
Screenshot_20240530-114137~2.png

Likoni Bridge second render 👇 👇 🤣 🤣 🤣
Screenshot_20240530-114222~2.png
Screenshot_20240530-114249~2.png

Actual likoni Bridge 👇👇🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20240530-113904~2.png
Screenshot_20240530-113826~2.png

I can post hundreds of infrastructures like these in Kenya if you want, no future in Kenya.
 
Mimi siungi mikono hii miradi kwa kutumia mafao badala ya kulipa wastaafu huu ni upigaji in making! Kazi za foreign mission si kujiingiza kwenye biashara ya Real Estate!

Badala ya kujenga haya majengo ambayo watashindwa kuyaendesha ni bora wangefufua mradi wa ukumbi wa mikutano Arusha maana AICC imeonyesha uwwzo wa ku-manage kumbi za mikutano.
Huyo aliopewa hio wizara hajawah kufanya vzr kwenye wizara yoyote badal yake huondoka na kashfa mbaya Sana 🤣🤣🤣🤣

Au unasemaje ChoiceVariable
 
Huyo aliopewa hio wizara hajawah kufanya vzr kwenye wizara yoyote badal yake huondoka na kashfa mbaya Sana 🤣🤣🤣🤣

Au unasemaje ChoiceVariable
Kama wanataka kuongeza Mapato Kwa nini wasitafute wabia huko huko Nje wajenge hayo majengo badala ya kitumia Kodi zetu kwenda kunufaisha wageni,haikubaliki
 
Likoni Bridge first render 👇👇🤣🤣View attachment 3003489View attachment 3003490
Likoni Bridge second render 👇 👇 🤣 🤣 🤣 View attachment 3003491View attachment 3003492
Actual likoni Bridge 👇👇🤣🤣🤣🤣View attachment 3003493View attachment 3003494
I can post hundreds of infrastructures like these in Kenya if you want, no future in Kenya.
Hivi nyie watu huenda shule zipi? The first image is not a render, it is a photo of an existing bridge - Bayonne Bridge to be exact.
The third and fourth images are also not renders, they are photos of the Sunshine Skyway bridge in Florida.
The third photo is the initial render of the bridge that was rejected. The render that was accepted was done by JICA and it is as below. It is the official render of Likoni bridge.
images


Finally the last photo is not of Likoni bridge. That is Liwatoni bridge and it is a pedestrian bridge. Likoni bridge has not been constructed yet. So tutolee ujinga hapa na uwache kuspread fake news. Huwa hamjielewi nyinyi bongolala.
 
Back
Top Bottom