Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi nyie watu huenda shule zipi? The first image is not a render, it is a photo of an existing bridge - Bayonne Bridge to be exact.
The third and fourth images are also not renders, they are photos of the Sunshine Skyway bridge in Florida.
The third photo is the initial render of the bridge that was rejected. The render that was accepted was done by JICA and it is as below. It is the official render of Likoni bridge.

Finally the last photo is not of Likoni bridge. That is Liwatoni bridge and it is a pedestrian bridge. Likoni bridge has not been constructed yet. So tutolee ujinga hapa na uwache kuspread fake news. Huwa hamjielewi nyinyi bongolala.
Usinililie mm tafadhali kawalilie wakenya wenzako, mm sio ndugu yako, mm mtoto wa Nyerere sina undugu na wewe 👇👇
Screenshot_20240530-125719~2.png
 
Umeamua kutumia ile methali yao ya kumpa mjinga cheo. 🤣 🤣
Hawa majamaa bana, yani mtu unaweza ukampa maji kwa kikombe ukamwambia ni maji, yeye anabisha ni petroli kisa amegoogle akaona picha ya hicho kikombe na neno petroli hapo kando. Yani mtu anaamini kile anachotaka kuamini ila hana haja na ukweli. 🤣
 
Ndivyo walivyo, ndio maana mimi wengi wao huwa sijishughulishi kuwajibu. Yani kujadili na mjinga ni kazi nakwambia. 🤣 🤣
 
Ndivyo walivyo, ndio maana mimi wengi wao huwa sijishughulishi kuwajibu. Yani kujadili na mjinga ni kazi nakwambia. 🤣 🤣
Kuna saa zingine mimi hutaka kuwapiga vya ukweli niwaache wakijua ukweli hata kama humu watapinga kwa kiburi ila najua walipo washaujua ukweli. Kama hili jambo la render wamekuwa wakilirudia humu hadi wakaliamini wenyewe. Wengine wamejiunga na jukwaa wakapata wenzao wakisema eti Kenya render zetu hazifanani na final product na wakaaminishwa hivo. Leo wameshtukia hawana hata project moja ya Kenya wanayoweza kusema hii render yake haifanani na final product. 🤣 🤣
 
Mimi siungi mikono hii miradi kwa kutumia mafao badala ya kulipa wastaafu huu ni upigaji in making! Kazi za foreign mission si kujiingiza kwenye biashara ya Real Estate!

Badala ya kujenga haya majengo ambayo watashindwa kuyaendesha ni bora wangefufua mradi wa ukumbi wa mikutano Arusha maana AICC imeonyesha uwwzo wa ku-manage kumbi za mikutano.
Yani jamaa ni mpigaji tu.....mambo yake ni ya ujanja ujanja tu, I don't like this guy!!
 
Itawachukua wakenya miaka mingi sana kufikia usafi wa jiji kama Dar, inahitaji raia wawe civilised enough kuwa na clean city sio raia wanuka mavi kama wakenya.
Mnapiga picha za highways na main artery roads mnasema usafi. Nenda vichochoroni tuone huo usafi. Kuficha uchi kumewaaminisha vitu vingi hadi hamjielewi.
 
Mnapiga picha za highways na main artery roads mnasema usafi. Nenda vichochoroni tuone huo usafi. Kuficha uchi kumewaaminisha vitu vingi hadi hamjielewi.
Dada labda huijui Tanzania, haiwezi kuwa chafu kama kenya au nchi nyingine nyingi tu za kiafrika, ni kwasababu watanzania ni wastaarabu, tunaanzia kujifunza shuleni ustaarabu na ndiyo maana hata ukisafiri umbali mrefu huku Tanzania lazima kuwe na vyoo njiani kwa ajili ya abiria kujisaidia, hakuna mambo ya flying toilets huku.
 
Back
Top Bottom