NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,393
- 17,974
Wale wa thanks for renders wako wapi.😂Add sunset paradise 24flr WestlandsView attachment 3003363View attachment 3003364
Wale wa thanks for renders wako wapi.😂Add sunset paradise 24flr WestlandsView attachment 3003363View attachment 3003364
Kwa quality hii Uganda watakula pesa zetu nyingi tu lakini sio yale matakataka ya Kunyaland
View: https://youtu.be/5VkRRJANS8c?si=q8MeDC6blgap0UOa
😁😁😁
View attachment 3003365View attachment 3003367View attachment 3003368
It's a very ugly building. Limeharibu aesthetics ya hilo jengo la kwanza la oval.Hilo jengo la nyuma halifanyiwi cladding ama?
Hilo la nyuma halifanyiwi cladding ni residential tower.Hilo jengo la nyuma halifanyiwi cladding ama?
Nchi haina sheria za usafirishaji wala sijui kama wana regulator.KEnya kama Malawi vileeee....public transport ya Kenya ni kituko
Hao ndiyo mabingwa wa kujengewa vitu nje ya render 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣I smell something Juakali here 😀😀😀
Nafikiri ndiyo style yake hata kwenye render liko hivyo hivyo.Hilo jengo la nyuma halifanyiwi cladding ama?
Eti eeehh, umia zaidi mana chini yake apo inapita BRT 👇👇🤣🤣🤣It's a very ugly building. Limeharibu aesthetics ya hilo jengo la kwanza la oval.
Can you name just one project in Kenya that didn't look like its render? And don't come with political campaign posters - those are not renders. I want an actual render released by the lead consultant and the actual structure. Give me just one.Hao ndiyo mabingwa wa kujengewa vitu nje ya render 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwani how old are proboxes and Sienta?AVA wanauza brand new cars, japan watu wanafata second hands. Mibongolala inanunua magari mpaka ya 20yrs old.
Gari la kubebea viazi 🤣🤣🤣Made by ava mumbasa
View attachment 3003200
Wapelekee wewe waaminishe kuwa hiyo ni slum ili mpate partner wa slum hapa EA 🤣🤣🤣🤣Very bad PR optics for Africa,
I'm sure CNN will use these pictures as official posters for Afcon to suit the stereotypes.
Thats why me must ensure Talanta hosts both the opening and finals ceremony
Huu ndo ule unaobreed au sio ule?JKIA NAIROBI
View attachment 3001191
SGR trains 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Can you name just one project in Kenya that didn't look like its render? And don't come with political campaign posters - those are not renders. I want an actual render released by the lead consultant and the actual structure. Give me just one.
Wacha kutuletea Kasarani ya 2010. Kasarani ya 2024 before viti zingólewe for renovation ilikaa hivi na ziliwekwa stadium nzima.;Aerial and this is the best you have ,
Na hili ndio jukwa la VVIP maana kule juu ni zege tupu. A reason your poor national team is playing home games in malawi, remember?
View attachment 3003371View attachment 3003371
So Trains have renders? Do you know what a render is? Kindly show us the render.SGR trains 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ungemuacha aendelee kujidanganya, alafu tumpige maspana baadae 🔥Wacha kutuletea Kasarani ya 2010. Kasarani ya 2024 before viti zingólewe for renovation ilikaa hivi na ziliwekwa stadium nzima.;
![]()
View attachment 3003407