President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,772
- 89,799
Genevieve Mpangala Tanzania watoto ni wakali sana na wanapesa.
Azam anahusika kivyovyote na siasa za TZ?Tuanze kutaja biashara za Azam !?
Hii post ina views milioni 26 sawa sawa na population ya Rwanda na Burundi combined.
"Tanzania haijulikani" alisika masikini mmoja asiye na uhakika wa milo mitatu. 😂😂😂
View: https://x.com/buitengebieden/status/1673650576419110914?s=46&t=4z9N13N0auLdtU4DeJ6fYw
Onyesha plate namba tujue la kenyaUnadhani Kenya ni Bongolala?
![]()
Mambo kama hayo tulishapita mzee huko. 🤣 🤣 🤣 🤣 Tafuta namna nyingine ya kunikera
Onyesha plate namba tujue la kenya
Unapiga kelele hapa na wachezaji wenu wanapewa zawadi ya Ksh 25,000 for being Man of the March while Kenya is Ksh 100,000😂😂🤣.
This domestic cup awards between Kenya and Tanzania.
View: https://x.com/azamtvtz/status/1792215323686412356
View: https://x.com/TeyaKevin/status/1795029815013122160
Unapiga kelele hapa na wachezaji wenu wanapewa zawadi ya Ksh 25,000 for being Man of the March while Kenya is Ksh 100,000😂😂🤣.
This domestic cup awards between Kenya and Tanzania.
View: https://x.com/azamtvtz/status/1792215323686412356
View: https://x.com/TeyaKevin/status/1795029815013122160
Many Housing projects In Tanzania takes years because they are can not afford to buy them especially off plan. Kenya is going to see sustained housing projects for some more decades to come. Look at Mombasa, every proposed tower sells out off planYani a whole block is sold off-plan!!! That's insane!And then when we talk of Kenyans' purchasing power and the growing middle-class bongolalas hushikwa na hamaki
Unadhani sina kazi kama wewe!?Sura za kiume hizi. Tuletee sasa beautiful women.
🤣🤣🤣🤣😂Kwani Kenya ni website?😂😂😂😂
Kudeal na mtanzania inahitaji moyo
Alafu vilaza wenzako wanakushangilia Kwa likes?🤣🤣
Mozart bet Cup ni na kama Cabarao Cup in Kenya. Haiusiani na KFK. Imagine hata wale wale watoto wa Chapa Dimba walikuwa wanapewa pesa mingi kuliko hawa Wazee wenu wakubwa 😂😂👇👇🤣Ww ni mwehu unafanasha FA cup Tanzania na Kenya league mbona hujaleta NBC premier league 😂😂😂😂😂😂😂
Alaf ukajiona unaakili mwenyewe jua kutofautisha mashindano Hio CRDB confederation cup ni FA kwetu, SASA tafuta ya NBC premier league
Mozart bet Cup ni na kama Cabarao Cup in Kenya. Haiusiani na KFK. Imagine hata wale wale watoto wa Chapa Dimba walikuwa wanapewa pesa mingi kuliko hawa Wazee wenu wakubwa 😂😂👇👇🤣
Mozart bet Cup award is Ksh 100,00
View: https://x.com/TeyaKevin/status/1795029815013122160
CRDB Cup award is Ksh 25,000
View: https://x.com/azamtvtz/status/1792215323686412356
Chapa Dimba award is Ksh50,000
View: https://x.com/beebree0/status/1779754151448088672