Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Where do Kenyans get money!?
Imagine one block sold out just after launching construction. Remember MISTY SPRINGS, GTC Residential, Shangirila, also sold out.
Screenshot_2024-05-26-18-14-31-53_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
Screenshot_2024-05-26-18-14-59-32_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
My friend wacha kujidanganya 99% ya watanzania hawajui chochote kuhusu Kenya, ukiwauliza watanzania kuhusu Kenya hawamjui hata rais wa Kenya, juzi tu alikuja Mandonga huko kwenu ili kukuza boxing ya Kenya, akaulizwa kuhusu rais wa Kenya hamjui jina mpaka akaambiwa ila over 80% ya wakenya wanajua kila kitu kuhusu Tanzania mpaka rais wa Tanzania anajulikana Kenya nzima kama yeye ndio rais huko Kenya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cha kushangaa mpaka DJ AllyB wanamjua juzi Kati kaenda eldoret Huko akapewa na escort kubwa, convoy utasema waziri mkuu😅😅
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom