Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Majirani kubalini hamuna hela... very soon hii inweza kuwa white elephant.. i wonder mtatoa wapi pesa ya kujenga uwanja Arusha..​

Tanzania’s SGR completion concerns rise amid broken promises​

Hapo anakuja kusign loan na AFDB kwajili ya Sgr rail to Burundi and RDC mbele ya pua zenu.
You think that's what's bringing her? And what are the other African presidents coming to do in Nairobi? Are they also coming to sign AFDB loans?

Hivyo ndivyo unavyojifariji?
 
Tuendelee na Pisi Kali za kitanzania sasa. Maana naona hakuna comeback kutoka kenya. Yaani wanatakiwa waogope kabisa.

NB: Kuwa na watu wenye sura nzuri ndani ya nchi ni dalili ya kuwa na maisha mazuri. Huwezi ukawa na maisha magumu halafu sura ikawa nzuri never ever.

CHuchu Hans From Tanzania

1716891353687.png

1716891494828.png
 
Achana na hizi Mambo wape vitasa kundurenfa
Tuendelee na Pisi Kali za kitanzania sasa. Maana naona hakuna comeback kutoka kenya. Yaani wanatakiwa waogope kabisa.

NB: Kuwa na watu wenye sura nzuri ndani ya nchi ni dalili ya kuwa na maisha mazuri. Huwezi ukawa na maisha magumu halafu sura ikawa nzuri never ever.

CHuchu Hans From Tanzania

View attachment 3001816

View attachment 3001818
 
Back
Top Bottom