Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tukioridhesha biashara za waarabu Kama Mo dewji, Rostam Aziz, Awadh na Bakhressa group hapa ndani hapatakalika. Mama ngina hasogei hapo, hao waarabu wanne wanauwezo wakuwalisha mibongolala million 28 ambao wanaishi in extreme poverty kwa mwaka mzima.
Hao 'waarabu' ni watanzania kama walivyo 'wahindi' na 'wazungu' huko kwa manyang'au๐Ÿ˜Ž
 
Ananiuliza swali yenye siwezi jibu. Kwani nafanya kazi Google ndio nijue sample size?
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Basi Acha hasira buda mos mos
 
Ananiuliza swali yenye siwezi jibu. Kwani nafanya kazi Google ndio nijue sample size?
Sasa unashabikia vitu ambavyo hujui background yake kama si utahira ni nini. Msomi hawezi kuwa swayed na data uchwara lazima ajue analysis ilifanyika vipi ndia aseme hii ni quality data ama rubbish.
 
Sasa unashabikia vitu ambavyo hujui background yake kama si utahira ni nini. Msomi hawezi kuwa swayed na data uchwara lazima ajue analysis ilifanyika vipi ndia aseme hii ni quality data ama rubbish.
Nyinyi data zote mnazoleta humu mnawekanga data analysis like sample size! Acha kuwa mjinga
 
Ujue nyie wapumbavu wawili mnachekesha sana na hii mada yenu.? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ do you even know hii platform mnatumia kuongea huo upuuzi wenu, ni platform ya kitanzania.? Hii pekee inaleta pucha halisi vile mnaitafuta Tz hadi mmepatana na platform ya Bongo kuharisha huo upupu wenu.

Huko kenya kuna platform ipi enter ni popular and it attracts foreign engagements? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Bongolala, nilishakuambia kwamba kama hiyo ripoti inakukera sana peleka malalamishi yako Google. Hii insha unaandika hapa won't change anything
 
Elimu yenu takataka ndio maana hujui tofauti ya international conventions na ushubwada unaowahusu mungiki peke yenu msio na elimu
As long as Samia wenu atakuwa Nairobi kuhudhuria hiyo ushubwada wa mungiki Mimi Sina neno๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
The main problem with kenyans is they are living in denial! They canโ€™t just accept the fact that currently Tanzania is ahead of kenya in everything except that cooked useless GDP.
Of course you are ahead of us even in extreme poverty
 
Tukioridhesha biashara za waarabu Kama Mo dewji, Rostam Aziz, Awadh na Bakhressa group hapa ndani hapatakalika. Mama ngina hasogei hapo, hao waarabu wanne wanauwezo wakuwalisha mibongolala million 28 ambao wanaishi in extreme poverty kwa mwaka mzima.
Swali muhimu ni hili mama ngina katoa wapi pesa?
 
Kenya Ni nchi ya kibeberu ambayo haikua na Huruma kipindi cha Uhuru na haijawah kusaidia nchi yoyote Africa katika suala la kupata Uhuru, alaf Leo anatuambia utumbo gani, hawa jamaa nikama wamechanganyikiwa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ndio laana hiyo inayowatafuna mpaka watubu.
 
Back
Top Bottom