Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 17,094
- 11,719
Wanyonge wa kupindukia🤣🤣🤣Hizo ruti za dala dala pia wamebanwa na kina precision Air na Ethiopia airlines, hakuna kuwapa amani mpaka kwao.😅
Wanyonge wa kupindukia🤣🤣🤣Hizo ruti za dala dala pia wamebanwa na kina precision Air na Ethiopia airlines, hakuna kuwapa amani mpaka kwao.😅
Plus he was in various stops.. Atlanta , New York and Washington DC… so do pundits expect Kenya Airways jet to be packed waiting and taking him from place to place for 5 days?… Then they will complain the Plane is just idle instead of doing its job..Haki watu hawatumii akili sometimes…
Kijana mdogo elewa vitu rahisi, Kama ingekua maneno ya Ruto ni uongo, KQ wangedadavua gharama zote moja baada ya nyingine kumpinga raisi. Hio statement ni fake news otherwise leta screenshot kutoka kwa pages zao Kama ipo.Wewe naee kichwa kizito kweli yani.. ni mtu wa nyanza nini?
Yani wajipigie PR kwa kauli kwamba wako na gharama kubwa kuliko chopa ya kukodi? Hilo walikanusha kwamba zakayo kadanganya keikiuu ni cheap zaid.. Ila ndio wame piga u turn tena hapo na kusingizia ni fake news
Tunaongoza kuwa google na hakuna website hata 1 Kunyaland inajulikana Tanzania?Anaywteseka ni wewe unaeweka websites in reference to a report mentioning countries
Who cares as long as clowns make their fullest day and some circus here and there 😂😂You will explain until you will give up. Utalia mpaka utachoka mwenyewe, hio map utaiona Sana hapa ndani, jiandae kisaikolojia
Kwahivyo diamond na Tanzania ni kitu kimoja 😅😅😅😅😅Tunaongoza kuwa google na hakuna website hata 1 Kunyaland inajulikana Tanzania?
Leta kama hii 😂😂
Here is a List of Kenya's Most Searched Items on Google for the Last 15 Years
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Like As Google celebrates its 15 year anniversary, the tech giant has released the most searched items on the search engine. Sports fanatics topped the list of the most searched items with consistent queries, especially in football over the period...kahawatungu.com
View attachment 3001237
Bongolala, the Google Trends information I shared was ranking the most searched COUNTRIES, not websites or individuals. I know you are dumb but how hard is it to understand this?Tunaongoza kuwa google na hakuna website hata 1 Kunyaland inajulikana Tanzania?
Leta kama hii 😂😂
Here is a List of Kenya's Most Searched Items on Google for the Last 15 Years
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Like As Google celebrates its 15 year anniversary, the tech giant has released the most searched items on the search engine. Sports fanatics topped the list of the most searched items with consistent queries, especially in football over the period...kahawatungu.com
View attachment 3001237
Who cares na hio map imekutesa wiki nzima unaongelea jambo moja, move on kijana, jifunze kukubali vitu ambavyo huwezi vibadilisha😅😅Who cares as long as clowns make their fullest day and some circus here and there 😂😂
Ninyi tumewazoea sababu elimu yenu ni takataka
Link ukiwa umeificha matakoni? 🤔Bongolala, the Google Trends information I shared was ranking the most searched COUNTRIES, not websites or individuals. I know you are dumb but how hard is it to understand this?
Hiyo elimu yetu takataka itamlazimisha Rais wenu kufungisha virago kuja Nairobi kwa mara ya tatu ndani ya mwezi mmoja kuhudhuria kongamano la marais wa Africa kwenye conference jijini Nairobi 🤣🤣🤣Who cares as long as clowns make their fullest day and some circus here and there 😂😂
Ninyi tumewazoea sababu elimu yenu ni takataka
😂😂😂 Source hii hapaWho cares na hio map imekutesa wiki nzima unaongelea jambo moja, move on kijana, jifunze kukubali vitu ambavyo huwezi vibadilisha😅😅
Elimu yenu takataka ndio maana hujui tofauti ya international conventions na ushubwada unaowahusu mungiki peke yenu msio na elimuHiyo elimu yetu takataka itamlazimisha Rais wenu kufungisha virago kuja Nairobi kwa mara ya tatu ndani ya mwezi mmoja kuhudhuria kongamano la marais wa Africa kwenye conference jijini Nairobi 🤣🤣🤣
Nenda Google Trends utaipata huko. Na kama unaumwa sana peleka malalamishi yako Google. They'll give you a listening earLink ukiwa umeificha matakoni? 🤔
Nimeipata tayari hii hapa Google HQ Mountain View, California, United States 😂😂😂Nenda Google Trends utaipata huko. Na kama unaumwa sana peleka malalamishi yako Google. They'll give you a listening ear
Hiyo elimu yetu takataka ndio inatufanya tuhost hizo international conventions ambazo mnatamani sana kuwa wenyeji. Samia atawaletea salami kutoka Nairobi kwa mara ya tatu in less than a month 🤣🤣🤣Elimu yenu takataka ndio maana hujui tofauti ya international conventions na ushubwada unaowahusu mungiki peke yenu msio na elimu
Kwa hiyo watanzania wao katika million zaidi ya 40 wanaotumia internet huwa wanaenda kwenye searching bars zao na kuandika Kunyaland tu to get results? 😂😂 Wewe kweli ni mnufaika number 1 wa elimu takataka mnayopewa hapo KunyalandKwahivyo diamond na Tanzania ni kitu kimoja 😅😅😅😅😅
Bongolala, the Google Trends information I shared was ranking the most searched COUNTRIES, not websites or individuals. I know you are dumb but how hard is it to understand this?
Ujue nyie wapumbavu wawili mnachekesha sana na hii mada yenu.? 🤣🤣🤣 do you even know hii platform mnatumia kuongea huo upuuzi wenu, ni platform ya kitanzania.? Hii pekee inaleta pucha halisi vile mnaitafuta Tz hadi mmepatana na platform ya Bongo kuharisha huo upupu wenu.Who cares na hio map imekutesa wiki nzima unaongelea jambo moja, move on kijana, jifunze kukubali vitu ambavyo huwezi vibadilisha😅😅