Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Elimu yenu takataka ndio maana hujui tofauti ya international conventions na ushubwada unaowahusu mungiki peke yenu msio na elimu
Hiyo elimu yetu takataka ndio inatufanya tuhost hizo international conventions ambazo mnatamani sana kuwa wenyeji. Samia atawaletea salami kutoka Nairobi kwa mara ya tatu in less than a month 🤣🤣🤣
How about that?
 
Bongolala, the Google Trends information I shared was ranking the most searched COUNTRIES, not websites or individuals. I know you are dumb but how hard is it to understand this?

Who cares na hio map imekutesa wiki nzima unaongelea jambo moja, move on kijana, jifunze kukubali vitu ambavyo huwezi vibadilisha😅😅
Ujue nyie wapumbavu wawili mnachekesha sana na hii mada yenu.? 🤣🤣🤣 do you even know hii platform mnatumia kuongea huo upuuzi wenu, ni platform ya kitanzania.? Hii pekee inaleta pucha halisi vile mnaitafuta Tz hadi mmepatana na platform ya Bongo kuharisha huo upupu wenu.

Huko kenya kuna platform ipi enter ni popular and it attracts foreign engagements? 🤣🤣🤣🤣
 
Do you know something called conference tourism and its effects on the economy?
Na waliopo mbele yenu ni SA, Morocco, Rwanda, Egypt tu Kunyaland ninyi mtampita nani zaidi ya hunger and banditry?

Screenshot_20240528-000057.jpg
 
Kwa hiyo watanzania wao katika million zaidi ya 40 wanaotumia internet huwa wanaenda kwenye searching bars zao na kuandika Kunyaland tu to get results? 😂😂 Wewe kweli ni mnufaika number 1 wa elimu takataka mnayopewa hapo Kunyaland
😂😂😂 Source hii hapa View attachment 3001241
Kijana mdogo unani quote mara mbili mbili alafu ulikua unasema who cares, you clearly care, the more you deny the more you reveal your heart pain😅😅😅, unaniuliza Mimi kwa hivyo watazania wana google Kenya jibu nikwamba ndio hivyo mibongolala milioni 40 Ina google Kenya kuliko nchi yeyote duniani.
 
Ujue nyie wapumbavu wawili mnachekesha sana na hii mada yenu.? 🤣🤣🤣 do you even know hii platform mnatumia kuongea huo upuuzi wenu, ni platform ya kitanzania.? Hii pekee inaleta pucha halisi vile mnaitafuta Tz hadi mmepatana na platform ya Bongo kuharisha huo upupu wenu.

Huko kenya kuna platform ipi enter ni popular and it attracts foreign engagements? 🤣🤣🤣🤣
Kwa hivyo jamii forum na Tanzania ni kitu kimoja, isitoshe hii forum inatumia software ya xenforo ambayo server zake ziko USA, hapa maxence melo pia amekodisha 😅😅😅😅
 
Kijana mdogo unani quote mara mbili mbili alafu ulikua unasema who cares, you clearly care, the more you deny the more you reveal your heart pain😅😅😅, unaniuliza Mimi kwa hivyo watazania wana google Kenya jibu nikwamba ndio hivyo mibongolala milioni 40 Ina google Kenya kuliko nchi yeyote duniani.
Cry harder 😁😁😁

20240528_001437.jpg
 
Ujue nyie wapumbavu wawili mnachekesha sana na hii mada yenu.? 🤣🤣🤣 do you even know hii platform mnatumia kuongea huo upuuzi wenu, ni platform ya kitanzania.? Hii pekee inaleta pucha halisi vile mnaitafuta Tz hadi mmepatana na platform ya Bongo kuharisha huo upupu wenu.

Huko kenya kuna platform ipi enter ni popular and it attracts foreign engagements? 🤣🤣🤣🤣
Hapo yamekutana basha la mombasa na basha la migori, ukilaza wao hauna mfano. 😂😂😂
 
Nyerere aliona mbali sana kutuweka kwa China.
Kuna clip aliongelea sababu ya kuwa karibu na China. Alisema, wamagharibi wameendelea sana ki teknolojia, hivyo kufuata mfumo wao wa uzalishaji hakuta kuwa na uhalisia. Miaka ya 60, China iliyokuwa na watu milioni 700 iliweza kujilisha kwa kutumia teknolojia ya plau linalokokotwa na ng'ombe. Hii ilikuwa na uhalisia zaidi kwetu kuliko kutaka kununua mashine za John Deere kulima.
 
Kuna nafasi za MCA hazikuwa before?😂😂😂

You are so busy in following Kenya which is good but the only problem you might be following wrong things😂
He got me confused too….. these guys eat , sleep and dream about Kenya 24-7… it’s a crazy obsession.. if Kenya was a dame , she can sue Bongo for stalking..🤣🤣🤣🤣🤣… The United Stalkers Republic of Tanzania 🤣
 
Back
Top Bottom