REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,602
- 11,528
Uko vyema sana upstairs. Nimeiona ile clip mara kadhaa labda kuna nyingine tofauti, anasema "Nikienda USA nashangazwa na hatua ya marndeleo, lakini China ni primitive. Just sehemu isitokuwa na roof lakini wanatengeneza glass, yap! Tunaweza kufanya haya Africa."Kuna clip aliongelea sababu ya kuwa karibu na China. Alisema, wamagharibi wameendelea sana ki teknolojia, hivyo kufuata mfumo wao wa uzalishaji hakuta kuwa na uhalisia. Miaka ya 60, China iliyokuwa na watu milioni 700 iliweza kujilisha kwa kutumia teknolojia ya plau linalokokotwa na ng'ombe. Hii ilikuwa na uhalisia zaidi kwetu kuliko kutaka kununua mashine za John Deere kulima.