chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,125
Yameshapekua kila mahali yamekosa kabisa yameona yajiliwaze na hiyo fake yakiamini wote tulinyimwa akili kama wao 😂😂😂Nilishamuambia alete link ya Google Trend inayoonesha kuwa tunawa-search sana lakini hadi muda huu anajifanya haoni. 😂😂😂
Hayana shughuli za maana zaidi ya fake news tu.