Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Who ranked Tanzania third? Ama ni hile mambo yenu ya kawaida ati Tanzania leads Africa in electricity access?😂😂
Duh! What is this?Saying you are too Pan African than Kenya is like bragging your mother cooks the best …. Show us how so…
Mwaka gani huu hebu nikumbushe plz 😂😂
Vifaa vyake viko wapi? Maana mnaongea kama ni TAIWAN.
Mm najaribu kukumbusha ili usisahau au hii sio I'd yako 😂😂😂👇👇👇👇👇Wapi penye ilisainiwa? Tumekuambia ulete ushahidi ukashindwa😂😂
Do you guys seriously mnaflash Ubongo, what the purpose of this thread na nani anaweka picha za ziara ya Ruto humu kuliko mwingine?If that's the case, how comes no kentan cared to talk about Suluhu's visit to the US here? Cha ajabu ni kwamba kila kilaza mtanzania hapa huzungumxia hii ziaea ya Ruto like their lives depend on it!
Jana alikuwa Zanzibar kwenye fainali ambayo Tanzania ndo washindi kwa upande wa wanaume na tukapewa dola laki 3.aache unafiki!
Illegal humu 30yrs in jail, naona USA hapo kwenu anafanya kazi ya Kanisa.Another gay analogy… with confidence..🤣..so many of you … btw is homosexuality legal in Tanzania?…
Licha ya hvo tu lile tukio limemtia Sana doa Africa amekua kama haaminiki tena ni lazma aongee hvo 😂😂😂😂😂Jana alikuwa Zanzibar kwenye fainali ambayo Tanzania ndo washindi kwa upande wa wanaume na tukapewa dola laki 3.
Aliongea huo unafiki kwa sababu anajua anakuja Tanzania.