Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mechi nane Leo zinachezwa Tanzania tena muda mmoja na zote zinaruka live Azam TV 😂😂

Kenya ikifika level hii mm nafunga ACC 😂😂👇

Screenshots_2024-05-25-11-19-14.png



View: https://x.com/azamtvtz/status/1794277321139990965?t=zEv_fbzqN2RaLLX2_UMM8w&s=19
 
Hebu tuoneshe ya Nigeria 😲😲😲

KAZI yenu kutaja nchi za watu mbona yenu hamuitaji wajinga nyinyi

Hii ndio kitu muliahidiwa au??😅😅👇

View attachment 2998750View attachment 2998751
Sijui ni lini watajifunza kunyamaza juu ya miradi yao wasubiri hadi itiki sio fantasy kwanza.

Bongo Only Magufuli (Niite biased) aliweza kumeet our fantasy ( JNHP, UBUNGO FLOVER, KIMARA KIBAHA, SGR, BUS TERMINALS, MASOKO, MJI WA KISERIKALI DOM) kwenye mradi ila sasa ni kuvizia maana miaka na miaka Japo ni kama render inasogea ujinga mwingi.
 
Back
Top Bottom