Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hio Nairobi Mombasa expressway sio mara ya Kwanza kusainiwa ilisainiwa 2018 Huko kipindi cha Uhuru alaf kilifuata nn??? Same project inasainiwa kwa hewa again alaf muko hapa kupiga kelele

Wewe unatuonesha hewa, I thought muko hata na serious project so far 🤣🤣🤣🤣🤣

Cocacola will invest when ?? Wamewapa time ni lini ?? Au ni Jaba 😂😂😂😂
 
Inaonekana hii biashara ya mabasi inalipa sana,Yaani wakurugenzi wanaagiza kama njugu aise!
Barabara zimeimarika na watu wameongezeka ,pia msimu wa kiangazi matajiri Wana maximize profit kadiri inavyowezekana maana ndio msimu wa biashara Hadi katikati ya January,baada ya hapo tukutane May tena
 
mlijenga baada ya Ethiopia hamkuona haja kuipa stima SGR yenu hapo mwanzo ila tu baada ya Tanzania kujenga electric SGR! Wacheni upumbavu!
When we were building SGR we wanted to focus on electrifying people’s homes first. Now that almost 80% of homes have been electrified, we can do anything to our SGR.

Unlike Tanzania that hurried to electrified the line with not enough electricity, no wonder inakwama kwa njia.
 
Leo kuna sherehe kubwa Sana ya yanga itakua moja ya sherehe kubwa Africa

Muda ni msema kweli, Gor mahia wakifikia level hii mm nitafunga ACC maisha yote 👇

View: https://x.com/azamtvtz/status/1793982559975510049?t=50JzpnXlSGwDsV3cgEeldA&s=19

Which level is better than this?

1716623019167.jpeg
 
Hio Nairobi Mombasa expressway sio mara ya Kwanza kusainiwa ilisainiwa 2018 Huko kipindi cha Uhuru alaf kilifuata nn??? Same project inasainiwa kwa hewa again alaf muko hapa kupiga kelele

Wewe unatuonesha hewa, I thought muko hata na serious project so far 🤣🤣🤣🤣🤣

Cocacola will invest when ?? Wamewapa time ni lini ?? Au ni Jaba 😂😂😂😂
Wapi penye ilisainiwa? Tumekuambia ulete ushahidi ukashindwa😂😂
 
Back
Top Bottom