Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aaah bana, Ethiopia si wana Electric!? Nigeria, Ghana, Morocco, Egypt, Sénégal, SA Sasa Hivi ndo huwa mna potea
Hebu tuoneshe ya Nigeria 😲😲😲

KAZI yenu kutaja nchi za watu mbona yenu hamuitaji wajinga nyinyi

Hii ndio kitu muliahidiwa au??😅😅👇

images - 2024-03-21T164530.464.jpeg
images - 2024-03-21T164538.215.jpeg
 
Aaah bana, Ethiopia si wana Electric!? Nigeria, Ghana, Morocco, Egypt, Sénégal, SA Sasa Hivi ndo huwa mna potea
mlijenga baada ya Ethiopia hamkuona haja kuipa stima SGR yenu hapo mwanzo ila tu baada ya Tanzania kujenga electric SGR! Wacheni upumbavu!
 
Back
Top Bottom