Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,072
- 17,790
Does that change the fact that that's Dar?Ndio maana mumekaa wajinga so far watu wanapost picha ya 2022 na nyie munachukua hvo hvo kama kondoo😆😆
View attachment 2998443
Does that change the fact that that's Dar?Ndio maana mumekaa wajinga so far watu wanapost picha ya 2022 na nyie munachukua hvo hvo kama kondoo😆😆
View attachment 2998443
Wewe hujui nairobi nyamaza. Unajua downtown Nairobi ipo upande gani?Naona mpaka majengo ya CBD Achilia mbali downtown 🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa mukipata ya 2023 kama hii tutapumua kweli? 🤣 🤣 🤣 Mumezoea ku import fossils ndio kwa maana unadhani Diamond alifanya kitu cha maana sana.2017 mzee unapanua mdomo hata ya diamond ni ya 2022🤣🤣🤣🤣
Au unabisha sio ya 2017 nikuletee ushahidi sahivi
Unataka Mombasa ishindane na mji gani Tanzania?😂😂😂Hii ni nini unanionesha 😆😆😆😆😆😆😆
Tukianza na Mombasa nioneshe gari za kifakhari ambazo hazihusiani na joho + abduswamad family,
Alaf tutakuja Nairobi SASA 🤣🤣🤣🤣🤣
Hakuna kitu utanidanganya wewe
Hebu leta habari Uhuru akisign hiyo projectHaya Uhuru Kenyatta alikuja na hio project na ikafa so weka akiba ya maneno musiwe wajinga kushangilia vitu haijulikani ukweli wake 😆😆😆😆😆😆😆
The same project ilikua signed kipindi cha Uhuru na hakuna kilichofanyika
Kwa SASA acheni kua wajinga na watumwa wafikra
Ebu circle where Kilimani is in that picture😂😂Na CBD pamoja na downtown yote imo ndani bila kusahau kilimani🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mabaasha zenu Israel/Zionists are carpet bombing people in Palestine are they winning anything.I work for the government… the regulations attached to my job are so severe a small mistake can put me in prison… Likewise, the US military is bound by rules of engagement that can sometimes tie their ability to finish an assignment… I don’t have to explain that.. otherwise they have the capability to carpet bomb the Taliban back to Stone Age but the cost of civilian and innocent Afghanis casualties would be too much to bare… Go figure out what I just said and come back with an intelligent response…..
Ukipata Bentley Flying Spur kama hii ya 2023 huko bongo slum nitag nifunge account. 🤣🤣 Bongoslum hamuwezi tuambia kitu about new cars na bado muna import gari za year 2000 in 2024.2017 mzee unapanua mdomo hata ya diamond ni ya 2022🤣🤣🤣🤣
Au unabisha sio ya 2017 nikuletee ushahidi sahivi
Wewe ulitaka utagiwe 88Nairobi ikiwa design stageExpressway inamilikiwa na Nani??😆😆😆
Au hujui ni mali ya mchina
Nairobi to Mombasa sio mradi wa Leo wala wajanja hata kipindi cha Uhuru wali sign same thing alaf baadae ikawaje ??
Nakwambia wakianza ujenzi wowote unitag niwe wakwanza 😂😂😂😂😂
Ukipata Bentley Flying Spur kama hii ya 2023 huko bongo slum nitag nifunge account. 🤣🤣 Bongoslum hamuwezi tuambia kitu about new cars na bado muna import gari za year 2000 in 2024.
View: https://www.instagram.com/reel/C5EErLSCDNA/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==
Kwa hivyo hawana? Inabidi waje Kenya kununua Rolls Royce for those who can afford RR?Punguza kuropokwa, Ukipata any showroom in bongoslum inauza rolls royce nitag.
A normal showroom selling Bentley Bentayga casually tu. 🤣 🤣
View: https://www.instagram.com/p/CrLa9HoIJMt/
😂😂😂😂Wewe ulitaka utagiwe 88Nairobi ikiwa design stage
Ukataka utagiwe ujenzi wa GTC ikianza
Ukataka utagiwe ujenzi wa expressway ikianza
Ukataka utagiwe ujenzi wa affordable housing projects zikianza
Ukataka utagiwe Lamu port ikijengwa
Ukataka utagiwe dongo kundu ikijengwa
Ukataka utagiwe CBK Pension ikijengwa
Ukataka utagiwe sgr ikifika naivasha
Kwa hizi zote na mengineyo, mwishowe zinafanyika na unabaki kinywa wazi. Utataka utagiwe hadi lini. Kwani wewe ni mayai? Huoni wewe ni mjinga na desperate?
Leta showroom ya Rolls Royce hapa Dar is slum tuone. Acha kukwepa swali2017 rolls Royce ndio kitu unataka tuongelee hapa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣