Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mtu anasoma introduction to algebra alafu anajiita Mathematician😂😂😂.

Kumbe hizi vitu anasema ni vitu alisomea Primary School😂😂😂
 
Mtu anasoma introduction to algebra alafu anajiita Mathematician😂😂😂.

Kumbe hizi vitu anasema ni vitu alisomea Primary School😂😂😂
We don't study only algebra mzee. Jana niliwapatia papers za TZ. Nikawataka mlete za Kenya but. Mkakimbia. Education system ya Kenya is zero. Based on Mana Ngina ideas.
 
Hakuna kitu Kama stadium Tanganyika, subiri 2027 ndo utajua.

Hata hiyo ya Zanzibar hamna kitu. Only Mkapa ndio iko at least na ni msaada.
Endeleeni kubishana wenyewe kwa wenyewe, sisi tunazidi kupaa tu, na mkumbuke NBC PL ndiyo ligi bora ukanda huu ukiziacha mbali ligi zenu za mchangani hizo na pia ndiyo ligi bora namba 6 barani Afrika.

Azam Complex 👇👇
Screenshot_20240523-092643~2.png
Screenshot_20240523-092819~2.png
Screenshot_20240523-092904~2.png
Screenshot_20240523-093008~2.png
Screenshot_20240523-093212~2.png
Screenshot_20240523-092737~2.png
 
You take such fool serious, me I don't.
I told yo to try me in education. Whatever I mentioned nilimaanisha.

We twende kwenye discussion ya elimu tuone. Tena nitakujibu kwa kiswahili kabisa within seconds.

Kama wewe ni mbumbumbu usidha kila mmoja yupo hivyo. Watanzania elimu yao ipo juu sana. Nyie wakenya Mama Ngina brainwashed you.
 
I don’t, it’s just funny how he is convinced that he is a comoslogist😂😂😂
Utaongea all trash words. But the truth is, Education can be verified by public discussion.

If you don't argue as an educated person, it proves that your not educated. Wewe njoo na critical arguments uone how knowledgeable Tanzanians are.

Lakini ukija with Kenyan low thinking level utakutana na za uso.

Hapa watu wapo well informed. Usidhani unajadiliana na watu wa kibera ambao kiwango chao cha elimu kipo chini sana.
 
Hiyo inawatisha. Mbona kawaida sana hapa Tanzania. Secondary tulisoma masomo zaidi ya 11
1. Mathematics
2. Physics
3. Chemistry
4. Biology
5. Geography
6. Agriculture
7. English
8. Kiswahili
9. Bookkeeping
10. History
11. Divinity
12. Civics
13. Bible knowledge
14. Islamic Study

Na mengine mengi wenzagu watataja. Sasa kipi kinaweza kutushinda Watanzania? Mtanzania mmoja ni full package.

Kumbuka Secondary ya Tanzania ni sawa na University ya Kenya
Kwa hivo ukisoma Mathematics as a subject shule ya Upili unakuwa Mathematician hadi unajiita gwiji? Based on your idiocy kila mtu Kenya ni Mathematician maanake sote tumesoma Mathematics shule za upili. Ndio maana kila mtu anakuita mjinga humu. Hujielewi.
 
Utaongea all trash words. But the truth is, Education can be verified by public discussion.

If you don't argue as an educated person, it proves that your not educated. Wewe njoo na critical arguments uone how knowledgeable Tanzanians are.

Lakini ukija with Kenyan low thinking level utakutana na za uso.

Hapa watu wapo well informed. Usidhani unajadiliana na watu wa kibera ambao kiwango chao cha elimu kipo chini sana.
Tusha-argue nawe humu na tushaa-prove you are not a knowledgeable person in any field.
 
Endeleeni kubishana wenyewe kwa wenyewe, sisi tunazidi kupaa tu, na mkumbuke NBC PL ndiyo ligi bora ukanda huu ukiziacha mbali ligi zenu za mchangani hizo na pia ndiyo ligi bora namba 6 barani Afrika.

Azam Complex 👇👇View attachment 2997212View attachment 2997213View attachment 2997214View attachment 2997215View attachment 2997218View attachment 2997222
Toa uharo hapa. Mnakalia benchi kama zile za movie kiosk za ushagoo alafu mnaita international stadium.
 
Kwa hivo ukisoma Mathematics as a subject shule ya Upili unakuwa Mathematician hadi unajiita gwiji? Based on your idiocy kila mtu Kenya ni Mathematician maanake sote tumesoma Mathematics shule za upili. Ndio maana kila mtu anakuita mjinga humu. Hujielewi.
We don't have upili in our country.
We have
1. Primary Education
2. Secondary Education
3. Vocational Training
4. University Education

Our education standard is International.
 
Back
Top Bottom