Rhaenyra Targaryen
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 879
- 1,040
We don't study only algebra mzee. Jana niliwapatia papers za TZ. Nikawataka mlete za Kenya but. Mkakimbia. Education system ya Kenya is zero. Based on Mana Ngina ideas.
Mmewahi kutoa kiongozi gani mashuhuri hapo Kenya, hiyo Uganda unayosema wewe Rais wao kasoma Tanzania, nikianza ku list idadi ya watu mashuhuri waliosoma Tanzania mtajiona mlivyo na elimu takataka mbele ya education system ya Tanzania.
A president is not a scholar. Hata Idi Amin hakuenda shule na alikuwa president. Anyone who can convince people to vote for him can become president. Tuonesheni scholars wenu ndio mseme mna vyuo bora sio wanasiasa.
Mimi naweza kuonyesha hili jengo ambalo ni jengo bora zaidi hapo bongoland na ambalo mnapenda kujisifu nalo limebuniwa na Mkenya. Nioneshe kipi hapa Kenya chenye kimebuniwa na bongolala.