Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

FKF match in Kisumu.

ichoboy01 ulisema mashabiki hawafiki 100?😂😂
1715933490025.jpeg
 
Wanaficha nini, tufiche ili iweje na ushaambiwa July rasmi SGR inaanza, wewe unataka uambiwe kwa lugha gani uelewe hata kama unaumia umia lakini ukweli utabaki pale pale 👇👇👇👇👇

View: https://twitter.com/tzrailways/status/1791178998971543605?t=WHCPgOQpNpU2FwQeXY24fg&s=19

Kwanza ninashangaa Sana hawaTRC kujibu huu ujinga mara kwa mara, wao wafanye kazi tu, haya mambo huwa yanajijibu yenyewe, mtu Kama huyo Jacob, ninashangaa hata ule udiwani walimpaje, hovyo Sana
 
Wenzake kule X na Insta wanalipwa halafu yeye na kuamka zake saa kumi na mbili kutembeza post za anaupiga mwingi halipwi, itakuwa ni ujinga. 😂😂😂
Halafu bahati mbaya, huyu mwenzetu dishi limeyumba, hajui hata lengo la thread hii. Analeta kila kitu hata kitu ambacho hakihusiani na battle. 🤣 🤣 🤣
 
Kwanza ninashangaa Sana hawaTRC kujibu huu ujinga mara kwa mara, wao wafanye kazi tu, haya mambo huwa yanajijibu yenyewe, mtu Kama huyo Jacob, ninashangaa hata ule udiwani walimpaje, hovyo Sana
Cha6a Manifesto wanajaribu kuhakikisha wanataka kutengeneza empire yao Tanzania kama Kule Kenya Kikuyu.

Hujui watu wengi wa kutoka kule ndio wanakuwa negative. Hata hivyo Kule kimara more than 80% wapo wao ndio waliomchagua ili awatetee.

Dig down deep utawaona CHADEMA na lengo lake. Kama hujatokea kule wanakumaliza.
 
Magufuli aliwapa Sana "Political mileage" pale alipoanza kujibishana nao, kuwakataza kuandamana, kuwapiga na kuwateka hovyo, Kwasababu "they thrive well in chaos", hivi Sasa mama hawasemi Wala hawagusi, wameishiwa hawana Cha kuwashawishi watu wawasikilize wanebaki kufuatilia vitu vya ajabu ajabu.

Hivi mwanasiasa gani ambaye mwezi wa August Kuna uchaguzi, yeye anafuatilia mienendo ya majaribio ya train badala ya kutangaza sera ya chama chake. Kwenye majaribio ya train inaweza kusimama popote na saa yoyote Ile, SI ndio maana ya majaribio.
 
Huu ni ukabila kwa wachagga.
 
lol....they did this electric thing to look better than Kenyan SGR tz has serious self esteem issues....they did not do proper thinking about this electric thing.
Kitawaramba na tutakua hapa, hata kwenye airline pia walitaka waonekane wao ndo mabingwa, angalia sasa wanavyopata aibu.
 
Magufuli aliwapa Sana "Political mileage" pale alipoanza kujibishana nao, kuwakataza kuandamana, kuwapiga na kuwateka hovyo, Kwasababu "they thrive well in chaos", hivi Sasa mama hawasemi Wala hawagusi, wameishiwa hawana Cha kuwashawishi watu wawasikilize wanebaki kufuatilia vitu vya ajabu ajabu.

Hivi mwanasiasa gani ambaye mwezi wa August Kuna uchaguzi, yeye anafuatilia mienendo ya majaribio ya train badala ya kutangaza sera ya chama chake. Kwenye majaribio ya train inaweza kusimama popote na saa yoyote Ile, SI ndio maana ya majaribio.
Ubaya liengo lao la kujenga empire limeshindikana. Tunawanyosha kisawa sawa. Ukimsikiliza Upendo Peneza mahojiano ya Jana kwenye Power Breakfast ya Clouds FM. Utagundua kuna kitu wanafanya. Zaidi sana wanatetea Himaya yao. By the way kwa sasa wamezeeka na hakuna mtu wa kuwapatia Attention tena.
 
Back
Top Bottom