so gdp ya usa ni zero ju wanatumia gdp kulipa deni?Ndio mnaelekea huko sasa.
Dar is slum mji wa kunuka kila sehemu,ufuska kila mahali,ushoga umezidi humo,ni mji wa viokote,karaha na anasa mbaya!
Wapi hiyo hebu tuone, kumbe mtu mwenyewe hata huangalii unarukia tu, Kazi ipo.mwenzako alisema kwamba ako na shares ndani ya TPA na PSPF ndio tukamkosoa kwa kumwambia kwamba hizo ni parastatals na hakuna mwanchi anaweza kumiliki hisa kule. Ni kitu gani ngumu ya kuelewa hapo?
dar is slum..hiyo ni kijiji kwa nairobiUsiseme tu unachofikiri wewe. unauhakika na unachosema au ulisikia tu kwa watu.
guvu ya watu wa japan na usa pia hutumika kulipa deniMnatumika kwaajili ya kulipa madeni. Yaani guvu zenu za wakenya 60% zinalipia public debt.
Hahaha!! wewe unajilinganisha na Japan na USA. Wenzako wana source nyingi za kulipia madeni yao. (Wanauza Silaha, Magari nk) Nyie mnategemea mkamuane ili muweze kulipa 60% ya nguvu zenu kwenye deni la nchi ya kenya.guvu ya watu wa japan na usa pia hutumika kulipa deni
deni ya japan ni 250% na wanailipa ata sisi gdp yetu kubwa tunapewa loan kibao..LDC hawezi pewa loan kubwaHahaha!! wewe unajilinganisha na Japan na USA. Wenzako wana source nyingi za kulipia madeni yao. (Wanauza Silaha, Magari nk) Nyie mnategemea mkamuane ili muweze kulipa 60% ya nguvu zenu kwenye deni la nchi ya kenya.
Sasa wenzenu wanatengeneza magari, vifaa vya electronics, silaha nk na kuuzia nchi zingine. Sasa hapo kwenu Kenya mnalipa deni kutoka wapi? Hapo mtakamuana mpaka mtoe jasho. Yaani 60% ya nguvu zenu ni kulipia madeni.deni ya japan ni 250% na wanailipa ata sisi gdp yetu kubwa tunapewa loan kibao..LDC hawezi pewa loan kubwa
america is first world country my friend kenya is poor country tafuta mifano hai, kwanini hua hutumii akiliso gdp ya usa ni zero ju wanatumia gdp kulipa deni?
watuonyeshe zip line na race course
japan ni nchi ya tatu au ya nne dunian kua na uchumi mkubwa duniani, wewe unajifananisha na japan😀😀😀😀deni ya japan ni 250% na wanailipa ata sisi gdp yetu kubwa tunapewa loan kibao..LDC hawezi pewa loan kubwa
but deni yao ni 250% ya gdp yao..iyo ni fact ata kama wanatengeneza hizo zote alafu deni ya kenya ni 54% sio 60Sasa wenzenu wanatengeneza magari, vifaa vya electronics, silaha nk na kuuzia nchi zingine. Sasa hapo kwenu Kenya mnalipa deni kutoka wapi? Hapo mtakamuana mpaka mtoe jasho. Yaani 60% ya nguvu zenu ni kulipia madeni.
hiyo si shida ..shida ni gdp ya ya matrillioni wana deni 250% ya hiyo..period..deni yao ni 2.5 times ya gdp yao...so wakilipa deni wakitumia gdp(vile mnafikiria) gdp ya ni negativejapan ni nchi ya tatu au ya nne dunian kua na uchumi mkubwa duniani, wewe unajifananisha na japan😀😀😀😀
wewe hutapata akili
wasee mnafaa kuona hii...nmecheka yangu yote zip line ya mbao jooh..hii kwani iliundwa na walaji wa albino...hio si zip line...yani umetafuta hizo siku zote in the end umeget hii........enyewe tz ldc![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
kolo una swali lingine kuhusu huu ujinga wako wa zip line in tz?.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()